Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,463
- 113,530
nyabingi, hii kauli kuwa chama cha upinzani ni Chadema tuu, its your truth only but not fact. Ukweli halisi ni ule unaokuwa supported na facts.chama cha upinzani ni kimoja tu,..CHADEMA..sio ushabiki wala nini thats the naked truth
and you know it
Sasa kwa kukusaidia, Tanzania tuna nyama 19 vyenye usajili wa kudumu. CCM ndio chama tawala kwa Tanzania bara huku Zanzibar kikitawala na chama mshirika wake CUF. Hiyo tumebakiwa na vyama 17 vya upinzani huu ndio ukweli halisi and this is a fact!.
Sasa tunaweza kuja kwenye personal inferences kuhusu vyama hivi ndipo unaweza ukasema Chadema ndio the only genuine and serious opposition party in Tanzania kati ya vyama vyenye wabunge hapo tutakuelewa.