Michael Scofield
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 1,225
- 471
Nishindwe na kitu gani Smile?ataniweza?
Nishindwe na kitu gani Smile?ataniweza?
We si ndo mtafutaji? Nambie unamtaka nani mi ntakugea status yake...Naomba uwamwage hapa walio free, maana naona wengine mpaka wana vidumu
kumbe inabidi tuandikishe status zetu kwako babu?We si ndo mtafutaji? Nambie unamtaka nani mi ntakugea status yake...
Haya twende kazi!
Mbona rahisi tu kwanza nimweleze anachotaka kukifanya si sahihi,ile sio sehemu wala wakati muafaka wa kupimana,Mfano ndo umeanza uhusiano na mWANAUME, siku yakwanza mmenda kwa ajili ya kuNGONOKA mmeingia chumbani HUYO, anatoa HIV rapid test utafanyaje hapo
SEMENI KWELI
Mmmh babu hapa naweza kuingia choo cha ke! mwingine utamchagua atakufanya kidumu kumbe ana wake wa kufa na kuzikana, Kama alivyofanywa kidumu nitonye kwa naniliuuuu! alafu yeye ndio kafa kaoza.We si ndo mtafutaji? Nambie unamtaka nani mi ntakugea status yake...
Haya twende kazi!
kumbe inabidi tuandikishe status zetu kwako babu?
We si ndo mtafutaji? Nambie unamtaka nani mi ntakugea status yake...
Haya twende kazi!
Babu Asprin! mbona huyu anaweza akafix mambo yetu yaleeeeeeeee! vipi hapa?kumbe inabidi tuandikishe status zetu kwako babu?
Sawa weye ushapima.... Je yeye? Na hayo makitu red hapo chini yatakuwa kwa ajili gani?
Samahani wanawake, nasepa!
Hii ni kwa wajukuu tu.kumbe inabidi tuandikishe status zetu kwako babu?
Jana nilimuambia mtu wababu wanapenda udaku, akanibishia! Mtalingolo ona sasa hii, hehehe
Shhhhh! Huyo mkwe wangu huyo... Kanizalia mkaza mwana huyu!:hatari:Babu Asprin! mbona huyu anaweza akafix mambo yetu yaleeeeeeeee! vipi hapa?
Kusema Kweli ngono salama ipo really straining.. Use of rubber sababu ya malengo ya kuzuia HIV/AIDS ni muhimu saana but inaboa... Kama kweli Kid sis kuna Mwanaume anakua na hicho kipimo, naona it is for the best, mkisha pimana.... No LIMITATIONS.... Raha mwajipa wenyewe! Hivo nitapima Asap on the condition nae pia anapima...:nerd:
Nakimbia shem,Darling Shem....
Shem usisahau haka kagonjwa nako kana "probation period" ya miezi mitatu....Ohooo! Stuka!Kusema Kweli ngono salama ipo really straining.. Use of rubber sababu ya malengo ya kuzuia HIV/AIDS ni muhimu saana but inaboa... Kama kweli Kid sis kuna Mwanaume anakua na hicho kipimo, naona it is for the best, mkisha pimana.... No LIMITATIONS.... Raha mwajipa wenyewe! Hivo nitapima Asap on the condition nae pia anapima...:nerd:
Du! kama ni hivyo hatari, ndio maana nimekuomba unimwagie hapa walio free!Shhhhh! Huyo mkwe wangu huyo... Kanizalia mkaza mwana huyu!:hatari:
Wifi kipenzi, usisahau rapid test haiwezi kutambua maambukizi ya chini ya miezi 3. Kupima leo haimaanishi huna virusi. Kipimo precise ni ELISA na ni process ndefu na ghali.
Alijisemea Hon Mwinyi, ugonjwa uko pabaya! Discipline ya hali ya juu ya kutumia latex, or else weka kizibio kwenye naniliu. Otherwise wifi ntakupa password yangu nikifa uniwakilishe.
Nakimbia shem,
Nshaona umeazima AK47....
Umri bado unaniruhusu bana.
Shem usisahau haka kagonjwa nako kana "probation period" ya miezi mitatu....Ohooo! Stuka!