Kwa wanawake tu

@aspirin na nitonye
Mnafanya nini huku
Ngoja kungwi aje awatoe.

Babu usihofu, kigori wako yuko fit kabisa.
Anaweza ruka kichura chura usiku kucha.
Orayt... fanya fanya hima, leo ntataka ile ya "Rais Mapumzikoni". Ile ndo inatufaa sie kizazi cha Break Dance kwa sasa.

Leo ndio nimeamini rasmi kuwa Kongosho ni KE!
Eish... Sasa ulifikiri kigori wangu ni dume? Kwamba mi nakula mashoga siyo? Ntake radhi afu mtake radhi na shemejiyo.
 
Mi naijua status yangu. And I encourage watu wote kujijua ili wajipange, kama alivo fanya Smiley. But sio kwa kulazimishana. Ingekua hakuna uwezekano wa test kua positive, people wouldn't test.

I support you 100% RR. Mimi kuna dada mmoja nilikuwa na mahusiano naye sasa mdingi wake akajua halafu alikuwa ndiye kipenzi chake kwenye familia yake. Yule mzee alichokifanya ni kupanga mpango wa kunifikisha kwa dokta eti wanipime VVU. Walifanikiwa kunifikisha kwenye kituo cha afya ila mbinde ikawa kuitoa hiyo damu maana nilifura kama kifaru wote na dokta wakashindwa kunipima, nikaondoka zangu.
Kwenye kupima sio vizur kulazimishana
 
Hi jamani

Hivi ndo inamaanisha kuna kipimo mtu anaweza pata na kupima/kupimana ukimwi popote mlipo?
 
i support you 100% rr. Mimi kuna dada mmoja nilikuwa na mahusiano naye sasa mdingi wake akajua halafu alikuwa ndiye kipenzi chake kwenye familia yake. Yule mzee alichokifanya ni kupanga mpango wa kunifikisha kwa dokta eti wanipime vvu. Walifanikiwa kunifikisha kwenye kituo cha afya ila mbinde ikawa kuitoa hiyo damu maana nilifura kama kifaru wote na dokta wakashindwa kunipima, nikaondoka zangu.
Kwenye kupima sio vizur kulazimishana
mimi walinishika watu sita bwana nilizimia baada ya kunitoa damu mie .
 
mimi ningepima, ila siyo peke yangu....................... naye anapima. so ahakikishe ana tester 2
 
Mi naijua status yangu. And I encourage watu wote kujijua ili wajipange, kama alivo fanya Smiley. But sio kwa kulazimishana. Ingekua hakuna uwezekano wa test kua positive, people wouldn't test.
Inapendeza sana kujua status yako, hata kama ni + unajua uishi vipi....................... mbona kuna maisha marefu tu baada ya kuwa +? sijui kwa nini watu wanaogopa. hii ni muhimu sana, hasa kwa sisi wamama ambao tuna ma-complications ya kumwaga
 
@aspirin na nitonye
Mnafanya nini huku
Ngoja kungwi aje awatoe.

Babu usihofu, kigori wako yuko fit kabisa.
Anaweza ruka kichura chura usiku kucha.

that's watsup!!!....hebu ngoja nitafute simu yangu hapa kuna namba ya muhimu saana inahusika na hilo zoezi.......lol!
 
Hivi Thabo Mbeki aliposema virus wa HIV hawaambukizwi kwa njia ya ngono alikua anamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom