Kwa wanawake tu

Tokana na kazi ya babu yenu ya kukagua.... sishangai...lol

Ila wewe hapo naom
ba ujieleze nielewe why umetia kambi?
Eti babu Asprini kanambia nichague mjukuu wake, lakini kanikataza Smile eti ajamkagua bado! eti! eti! nisaidie dada AshaDii ya kweli haya! ndio maana nauza sura masaa yote bado sijaona.
 
nilikuwa nakataa kupima ili mipango mingine iendelee jamaayangu na ndugu zake wakanibeba wewe usipime belinda nilitamani kufa ile kusubiri majibu

Kweli nduguzo lazima walikushangaa..majibu yalivyokuja??

Mara ya kwanza naanza hizi mambo nikajipeleka Angaza mwenye kupima 2004, ile nakaribia kuingia angaza nikakwaruza gari la mtu nikawaza mbona balaa hili. Kuingia Angaza nilikuwa natetemeka, nikapimwa na kusubiria matokeo..sasa wakati ule storii nyingi kabla ya majibu. Mdada aliyekua ananihudumia alikuwa anahubiri wee mambo ya kuishi kwa matumaini mimi nawaza +ve or -ve...du! yakatoka nipo safi...Baada ya hapo nimezoea kupima, bila kupima na marudio si-doo namtu hata kama ana helmet..
 
walishangaa lakini kwani wao wamepima ata?wote ni hao hao.yaani ni story ndefu kidogo.huwezi kunielewa vizuri lakini yamepita
 
Kusema Kweli ngono salama ipo really straining.. Use of rubber sababu ya malengo ya kuzuia HIV/AIDS ni muhimu saana but inaboa... Kama kweli Kid sis kuna Mwanaume anakua na hicho kipimo, naona it is for the best, mkisha pimana.... No LIMITATIONS.... Raha mwajipa wenyewe! Hivo nitapima Asap on the condition nae pia anapima...:nerd:
Nimeshtuka!............... yaani mkishapimana hiyo mara moja tu mnajiachia......................... tutafika kweli?
 
huku kulikuwa KWA WANAWAKE TU! lakini naona kuna wababa wamehamia kabisaaaaaaaaaaaaaaa, wakiongozwa na babu..... tuwaeleweje? (samahani babu, unalo hiloooooooo)
 
Back
Top Bottom