Kwa Wanaume tuuuu!

aisee! dah mwanangu angekosa baba fasta na pia ingewakumba marafiki zangu wote including weye mwandishi na wana JF..............!
 
wanaume kwa uongo? ndo hapomnanikera wanawake 50 inawezekana kweli
 
Kwanza uliwaza nini kiasi ukaanza kufanya imagination hizo??Embu tuanzie kwako wewe ungekuwa vipi!!!!nahisi badala ya kuwa flat itakuwa imetengeneza depression au kashimo hivi!!!!
 
Bebii,nakuambia huo ni ukweli,sina sababu ya kudanganya,kuna jamaa kwa ushahidi wa macho yangu kila siku alikua anafanya ngono na wanawake watatu!!Duniani kuna mambo,hushangai Suleiman kuwa na wake 700 na vimada 300?Inawezekana katika hali ya kawaida?
 
Yaaaaaaaaaaaaaaani hata wewe usingekuepo, ila kama ni 15 nisingekuepo mimi.
 
wanaume kwa uongo? ndo hapomnanikera wanawake 50 inawezekana kweli

mmh! Hao mbona wala sio wa kutafuta, ukidadisi kwa vijana wa vijiweni(wauza mitumba, tax drivers, masharobaro mitaani) ambao ni above 25yrs kati ya 20 labda mmoja ndo atakuambia hajafikisha hiyo idadi. wenzako kila anayejirahisisha twende zaidi akiwa nazo.
 
Hebu nipe jibu sasa hivi, unadhani ni wanaume wenzio wangapi leo hii vitendea kazi vyao vingekuwa havipo? Je na wewe ungekuwa kwenye huo mkumbo wa kupotelewa na hiyo kitu?

Jiulize halafu nijibu!

Hapo kwenye red kiswahili fasaha ni 'visingekuwepo' kuondoa contradiction ili iwe meaningful sentence, maana unasema vingekuwepo halafu tena havipo.
 
Hebu jiulize kwamba leo Mungu anaamua kutoa adhabu kwa kila mwanaume ambaye ktk masuala ya mapenzi-iwe ameoa au bado yupo yupo-ameshawapitia wanawake zaidi ya 10 tangu alipoanza kuwajua wanawake.

Kwamba kwa kila mwanaume ambaye amepita hiyo 'benchmark' ya kuwa ameshafanya mapenzi na wanawake zaidi ya 10 ktk maisha yake, basi 'kitendea kazi' chake kitapotea mara moja na pale mahali patabaki 'flat'. Hebu nipe jibu sasa hivi, unadhani ni wanaume wenzio wangapi leo hii vitendea kazi vyao vingekuwa havipo? Je na wewe ungekuwa kwenye huo mkumbo wa kupotelewa na hiyo kitu?

Jiulize halafu nijibu!

Umenikumbusha mbali sana mkuu! Nilipokua advance niliwahi kutumiwa msg eti ingekua vipi mtu akizini anatoboka? Wengi wangekua kama vyandarua...! Anyway namshukuru Mungu, tangu niwe mwanaume nishawahi kudate na mwanamke m1 tu..!
 
Unajua hii sio sifa wala nini ni ujana tu, na sio vizuri sana kusema hadharani ila mimi kwa haraka haraka nimeshalala na wanawake wanaozidi 400.
 
Back
Top Bottom