Huyo naona kashika bango la inglishi, najua kijapan hakipandi kwake..
Huyo naona kashika bango la inglishi, najua kijapan hakipandi kwake..
Inategemea ni wapi upo,kuna sehemu ngeli hawaijui wenyewe ni lugha yao tu.....muulize Kibunango Ufini vipi au Scandi......Kijepu dili ukiwa jepu kama una mtu yuko Jepu muulize hupati kicheche kama hujui kijepu...Kati ya Inglishi na Kijapani, kipi mali zaidi?
Inategemea ni wapi upo,kuna sehemu ngeli hawaijui wenyewe ni lugha yao tu.....muulize Kibunango Ufini vipi au Scandi......Kijepu dili ukiwa jepu kama una mtu yuko Jepu muulize hupati kicheche kama hujui kijepu...
Hiyo labda kama unaenda kutafuta beki namba tatu kule Unyalu...
NN.. kuna dada anakutafuta kule uhusiano na mapenzi... anadai lugha ni tatizo
Wewe ndio mbwiga kabisa.......wachina wamebukua madigrii na hawajui ngeli wajepu,wakorea na warusi vile vile wengi wao......labda uje minazi ukitema yai vicheche vitakuona umesoma.acha ushamba wewe...mtu ukiwa unatema yai utapeta sehemu yoyote ile na totoz utapata. halafu utaonekana una akili sana.....