Naomba kujua aina ya oil ambayo mtengenezaji wa Toyota Succeed ameipendekeza

Makobus

Senior Member
Jul 30, 2012
161
103
Jamani hi,

Naomba kujua aina ya oil ambayo mtengenezaji wa Toyota Succeed ameipendekeza itumike kwenye engine. Manual ni kijapan kitupu. Hainisaidii.

Nawasilisha.
 
weke chasis number tukichekie kwenye catalog
Chasis number ni NCP59-0003329. Sakanya yafuatayo boss wangu:-

-Recommended engine oil.
-Recommended transmission fluid.
-Recommended Steering fluid.
-Recommended differential oil.
-Recommended coolant.

Kwa leo nisaidie kwa haya mkuu.
 
Nimeipenda hiyo ni ya kampuni gani na bei yake wastani ni shilingi ngapi kwa lita 4 ? Na unatumia Filter gani inayoweza kustahimili izo km ?
Peleka kwenye sehem ambazo ni classic wanajua wao filter zake elf30 kwa passo yangu ila oil ni elf 35 had 40 kwa liyaView attachment 2707272
IMG_20230803_170223.jpg

View attachment 2707277
 
Jamani hi,

Naomba kujua aina ya oil ambayo mtengenezaji wa Toyota Succeed ameipendekeza itumike kwenye engine. Manual ni kijapan kitupu. Hainisaidii.

Nawasilisha.
We si uingie Google au mwenzetu umefuga ujinga kichwani
 
Unauliza vitu vidogo soma hiyo engine namba halafa search oil gani kwa hiyo engine
Hatulingani wala hatufanani ndugu yangu. Kwako vinaweza kuwa vitu vidogo lakini kwa mwingine hususani mimi ni vikubwa. Kwa hiyo tuvumilianeni tu, tueleweshane.
 
Hatulingani wala hatufanani ndugu yangu. Kwako vinaweza kuwa vitu vidogo lakini kwa mwingine hususani mimi ni vikubwa. Kwa hiyo tuvumilianeni tu, tueleweshane.
sasa ndio maana mnapigwa au kusign mkataba mibovu binadamu tena mwanamue lazima kujuongeza
 
Back
Top Bottom