Kwa wanaojua Kijapan

Kibunango

Platinum Member
Aug 29, 2006
8,416
2,264
japan.jpg
 
you look realy silly... with yo head tilted to the right????? duh!
 
Leo mZenji umeniwahi... walahi mtume!!!!!!

..naona unaendeleza ki-Japani...je inglishi nayo vp? ama tumuambie
Nyani Ngabu..LOL!!!!:)
:D :D
Huyo naona kashika bango la inglishi, najua kijapan hakipandi kwake..
 
Kati ya Inglishi na Kijapani, kipi mali zaidi?
Inategemea ni wapi upo,kuna sehemu ngeli hawaijui wenyewe ni lugha yao tu.....muulize Kibunango Ufini vipi au Scandi......Kijepu dili ukiwa jepu kama una mtu yuko Jepu muulize hupati kicheche kama hujui kijepu...
 
acha ushamba wewe...mtu ukiwa unatema yai utapeta sehemu yoyote ile na totoz utapata. halafu utaonekana una akili sana.....
 
NN.. kuna dada anakutafuta kule uhusiano na mapenzi... anadai lugha ni tatizo
 
acha ushamba wewe...mtu ukiwa unatema yai utapeta sehemu yoyote ile na totoz utapata. halafu utaonekana una akili sana.....
Wewe ndio mbwiga kabisa.......wachina wamebukua madigrii na hawajui ngeli wajepu,wakorea na warusi vile vile wengi wao......labda uje minazi ukitema yai vicheche vitakuona umesoma.
 
件を表示する設定で ~ 件目を表示しています

Hapo vp?
 
件を表示する設定で ~ 件目を表示しています

Hapo vp?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom