Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Pole kwa kukosa umeme, my proposal kwa PM fukuza ngeleja na Mhando..it might help..
kabla hajafukuzwa lazima kwanza tuelezwe kwa nini aliteuliwa.
Pole kwa kukosa umeme, my proposal kwa PM fukuza ngeleja na Mhando..it might help..
Kweli na Makamba ni kansa pia ya kutowajibika na uwezo mdogo ...lakini JK hana shida.
Makamba ataondoka muda si mrefu...wala hilo halina mjadala..
Alaa kumbe kuna malipo kama hayo, changamkia basi na wewe usimeze mate bure..lolJamani, sasa basi, nimeshawaambieni huko juu mfungeni Topical kamba mumkimbize psychiatry. There is no correlation btn mnachosema na anachosema yeye.
Indicator ya ufanisi wake ni urefu wa thread aliyoanzisha. Akiprint na kupelekea wale wazee wa RA anavuta mkwanja. Kuendelea kumjibu ni kumuongezea ulaji!
Kwa herini
Sera ya CCM kwa ujumla wake ni nzuri wananchi wengi wanaikubali, isipokuwa swala linalokera ni utendaji,utekelezaji mbovu wa sera.
Vyama vingine havijaonyesha sera mbadala ila wanachosema ni kwamba ccm kwanini hawatekelezi vema sera zao? e.g. kwanini shule za kata haziboreshwi?, walimu waongezwa n.k kwa hiyo hawana mbadala ila tukitekeleza vizuri sera zetu ..watakuwa hawana hoja!
Ombi langu kwa Mh. Pinda (waziri mkuu) mtekelezaji mkuu wa asera na kazi za serikali .....
Nafikiri mkuu watendaji wakuu wa sera waanze kuangaliwa hasa kwenye mashirika yanayotoa huduma muhimu kwa wananchi waliotuchagua.., mfano mimi naona wafuatao wameshindwa kutekeleza sera za chama waondolewa na chama kupitia serikali ya chama tawala...
1. Wiiliam Ngeleja - wizara imemshinda umeme haupatikani ahadi zimekuwa nyingi utekelezaji zero, ameshindwa kuweka mkakati dhabiti kuendesha wizara..miaka 5 tunaongelea issue moja na ameshindwa kuja na solution..nafikiri ana problem upstairs...
2. William Mhando - Tanesco imemshinda hatuoni nafuu wala mkakati wa kitaalum wa kuboresha shirika huyu mtu ni dhaifu unprofesion
3. David Mattaka - Ameshindwa kutekeleza sera za chama kuhusu usafirishaji, hatuoni mkakati wa kitaalum wa kuboresha shirika hilo huyu mtu amezeeka amepewa kijana mdogo under 40 anaweza kusaidia kuleta mapinduzi
4. Justin Mwandu - Ameshindwa kuboresha shirika la NIC, jamaa huyu ni mwoga na very slow learner, NIC inaweza vipi kushindwa na Heritage insurance?
5. William Erio - Wa PPF, soon wastaafu watamlaani huyu mtu, kila maazimio ya kuongezwa pension hayapeleki serikalini wala hafanyi juhudi za kusaidia wazee wastaafu..
Kuna haja ya wapenzi na wanachama CCM kuwakamia serikali yetu iwaondoe hawa..na wengine wabovu..kwakuwa ni utekelezaji tu unaolalamikiwa wla si sera sera ziko OK.
Kuna tetesi ndio atagombea urais 2015:coffee:
We unadhani kazi ya Rais ni kubwatuka hovyo kwa kila linalopita mbele yake? Si kilajambo Rais analisemea.
asante sana, umeonesha TANESCO kuendeshwa kisiasa ni tatizo ambalo serikali ya CCM inapaswa kubeba lawama......
Suala la wananchi kushindwa kugharamia umeme kweli lipo......je unafikiri solution ni kutokupeleka umeme kwa kuwa hawawezi kugharamia??? Kama mwananchi hawezi,wawekezaji wakifika si watatumia umeme?hospitali na mashule nao si wanahitaji umeme?
Rural electrification inapaswa kuwa funded na kodi tunazolipa,ila kwa kuwa wizi ni mkubwa na hizo politics,sasa ishu inageuka kuwa wananchi hawawezi kugharamia....kazi ipo!!!
Wewe hujaelewa!..Hatuwaondoi wale kwasababu ya create naafasi za kazi la! kwasbabu wana underperfom
Kwakuwa wana underperfom inawezekana tukiweka watu wanao perfom tunaweza kuongeza ajira kadhaa!
Nimesema ukosfu wa ajira ni global issue..hakuna nchi imeajiri watu wake wote full employment? ni challenge ya kawaida kwenye siasa so the issue of proportinality comes in!
Only ballot box speaks mkuu..
However, je hao wengine mna sera mbadala kuhusu chakula kwa wote...au mnaimba tuachie uongozi wakati wananchi hawaoni mnachosema cha maana zaidi ya Doawans..ambayo hata mimi naona tuwaondoe mhando na ngeleja?
Maana huku kwetu kuna kilimo kwanza ili kusiwe na njaa miaka ijayo na PM ana deal nalo vema..nyinyi wengine mna sera gani?
Thanks Michelle, rural electrification is a must na kwa sasa kuna Rural Electrification Agency ambayo wananchi wanaichangia kwa kukatwa asilimia 3 kwenye bili ya umeme
Hata hivyo fedha hizi hazitoshi kupeleka umeme kwa wananchi, ni vizuri serikali ikifadhili miradi hii mikubwa ili wananchi walio wengi wafaidike TANESCO iwe msimamizi, ila TANESCO ijiendeshe kibiashara zaidi
Ni uchungu sana mimi nilisamimia mradi mmoja ( sitautaja kwa usalama wangu ) mradi huu uligharimu zaidi ya 6bn kwenda vijiji kama 20 nilisikitika sana ufadhili ulikuwa ni wa TANESCO na waliambulia kuwasha umeme nyumba 3 tu labda kama ss wanakijiji wengine wamewasha umeme! Hapo transformer inazunguka kapa..
Mradi kama wa Somanga..huu umefungwa capacitor bank kwani megawatt 8 zinazozalishwa pale ni zaidi ya matumizi ya wakaazi wa pale...( Wao wanahitaji km 2MW) hivyo ziada inaunguzwa...
CCM inalazimisha miradi isiyo na tija kwaajili ya kura, tatizo si Mhando topical..tatizo ni CCM!
Acheni wahandisi waendeshe shirika kitaalam jamani
Mkuu hapo umegeneralize, PM kuna mambo mengi amefanya lakini anahitaji wanachama wa ccm kuwa wakali kwa serikali kufanya zaidi...hasa kuangalia mashirika yasiyo perfom
Nsiande, unazifahamu siasa za gesi ya songosongo utujuze. Kila mwaka nikienda sabasaba natembelea Banda la TPDC. Mwaka jana waliponiona walicheka wakamikaribisha VIP na wanangu. Wana plani yao sasa karibu miaka 5 ya kutumia gesi ya songosongo kupindua kabisa uchumi wa nchi. Wanahitaji pesa pungufu ya zilizotumika RichDowans.
Thanks Michelle, rural electrification is a must na kwa sasa kuna Rural Electrification Agency ambayo wananchi wanaichangia kwa kukatwa asilimia 3 kwenye bili ya umeme
Hata hivyo fedha hizi hazitoshi kupeleka umeme kwa wananchi, ni vizuri serikali ikifadhili miradi hii mikubwa ili wananchi walio wengi wafaidike TANESCO iwe msimamizi, ila TANESCO ijiendeshe kibiashara zaidi
Ni uchungu sana mimi nilisamimia mradi mmoja ( sitautaja kwa usalama wangu ) mradi huu uligharimu zaidi ya 6bn kwenda vijiji kama 20 nilisikitika sana ufadhili ulikuwa ni wa TANESCO na waliambulia kuwasha umeme nyumba 3 tu labda kama ss wanakijiji wengine wamewasha umeme! Hapo transformer inazunguka kapa..
Mradi kama wa Somanga..huu umefungwa capacitor bank kwani megawatt 8 zinazozalishwa pale ni zaidi ya matumizi ya wakaazi wa pale...( Wao wanahitaji km 2MW) hivyo ziada inaunguzwa...
CCM inalazimisha miradi isiyo na tija kwaajili ya kura, tatizo si Mhando topical..tatizo ni CCM!
Acheni wahandisi waendeshe shirika kitaalam jamani
Dadangu Michelle hivi bado hujarudisha hiyo kadi ya kijani?
Fanya kama prof. Safari,, toka then kaa bila chama
Nakubaliana na hoja zako ni msingi ni wapinzani hawana jipya ninalo taka kuongeza chama kiwe makini na viongozi wa chama wanoteuliwa wateuliwe viongozi makini hasa mikoa ya mjini maana viongozi wengine wengi walioteuliwa kipindi hiki walikuwa hawana uchungu na chamaSera ya CCM kwa ujumla wake ni nzuri wananchi wengi wanaikubali, isipokuwa swala linalokera ni utendaji,utekelezaji mbovu wa sera.