Kwa wanachama na wapenzi wa CCM tu!

sera ya ccm kwa ujumla wake ni nzuri wananchi wengi wanaikubali, isipokuwa swala linalokera ni utendaji,utekelezaji mbovu wa sera.

Vyama vingine havijaonyesha sera mbadala ila wanachosema ni kwamba ccm kwanini hawatekelezi vema sera zao? E.g. Kwanini shule za kata haziboreshwi?, walimu waongezwa n.k kwa hiyo hawana mbadala ila tukitekeleza vizuri sera zetu ..watakuwa hawana hoja!

Ombi langu kwa mh. Pinda (waziri mkuu) mtekelezaji mkuu wa asera na kazi za serikali .....

Nafikiri mkuu watendaji wakuu wa sera waanze kuangaliwa hasa kwenye mashirika yanayotoa huduma muhimu kwa wananchi waliotuchagua.., mfano mimi naona wafuatao wameshindwa kutekeleza sera za chama waondolewa na chama kupitia serikali ya chama tawala...

1. Wiiliam ngeleja - wizara imemshinda umeme haupatikani ahadi zimekuwa nyingi utekelezaji zero, ameshindwa kuweka mkakati dhabiti kuendesha wizara..miaka 5 tunaongelea issue moja na ameshindwa kuja na solution..nafikiri ana problem upstairs...

2. William mhando - tanesco imemshinda hatuoni nafuu wala mkakati wa kitaalum wa kuboresha shirika huyu mtu ni dhaifu unprofesion

3. David mattaka - ameshindwa kutekeleza sera za chama kuhusu usafirishaji, hatuoni mkakati wa kitaalum wa kuboresha shirika hilo huyu mtu amezeeka amepewa kijana mdogo under 40 anaweza kusaidia kuleta mapinduzi

4. Justin mwandu - ameshindwa kuboresha shirika la nic, jamaa huyu ni mwoga na very slow learner, nic inaweza vipi kushindwa na heritage insurance?

5. William erio - wa ppf, soon wastaafu watamlaani huyu mtu, kila maazimio ya kuongezwa pension hayapeleki serikalini wala hafanyi juhudi za kusaidia wazee wastaafu..

Kuna haja ya wapenzi na wanachama ccm kuwakamia serikali yetu iwaondoe hawa..na wengine wabovu..kwakuwa ni utekelezaji tu unaolalamikiwa wla si sera sera ziko ok.

muda uliopoteza ukiandika haya si ungelisaidia hata kufagia barabara zetu chafu........ Serikali yote kuanzia tanzanian bagbo-jk mpaka mahawala na mashemeji zake aliowapa uongozi ni uchafu mtupu. Asilimia kubwa ya wabunge na mawaziri wa ccm ni watu walioyaangusha mashirika ya umma zamani na mpaka sasa wanazidi kuyala....... Mafano wa hivi karibuni ,,lile fisadi la u-dom linalokula hela za wanafunzi na wahadhiri ni shemeji yake kikwete ndo maana mpaka leo katulia tuli hajasema chochote na bado kamwach pale na alienda kumfungulia shule yake kule same, kilimanjaro,,
 
Hizo sera za CCM zimeandikwa wapi; mimi nina jua CCM haina sera hicho ndicho kilimpoteza Kolimba sasa iweje leo wana tena nzuri! labda twambie ziko wapi maana hatujawai kuziona.
 
Nimeipitia hotuba ya mwenyekiti wa ccm (siku ya birthday) nafikiri chama kingeanza kuwafukuza wazembe serikalini hatimaye iende kufanya recruitment kwa vijana
 
Sera ya CCM kwa ujumla wake ni nzuri wananchi wengi wanaikubali, isipokuwa swala linalokera ni utendaji,utekelezaji mbovu wa sera.

Vyama vingine havijaonyesha sera mbadala ila wanachosema ni kwamba ccm kwanini hawatekelezi vema sera zao? e.g. kwanini shule za kata haziboreshwi?, walimu waongezwa n.k kwa hiyo hawana mbadala ila tukitekeleza vizuri sera zetu ..watakuwa hawana hoja!

Ombi langu kwa Mh. Pinda (waziri mkuu) mtekelezaji mkuu wa asera na kazi za serikali .....

Nafikiri mkuu watendaji wakuu wa sera waanze kuangaliwa hasa kwenye mashirika yanayotoa huduma muhimu kwa wananchi waliotuchagua.., mfano mimi naona wafuatao wameshindwa kutekeleza sera za chama waondolewa na chama kupitia serikali ya chama tawala...

1. Wiiliam Ngeleja - wizara imemshinda umeme haupatikani ahadi zimekuwa nyingi utekelezaji zero, ameshindwa kuweka mkakati dhabiti kuendesha wizara..miaka 5 tunaongelea issue moja na ameshindwa kuja na solution..nafikiri ana problem upstairs...

2. William Mhando - Tanesco imemshinda hatuoni nafuu wala mkakati wa kitaalum wa kuboresha shirika huyu mtu ni dhaifu unprofesion

3. David Mattaka - Ameshindwa kutekeleza sera za chama kuhusu usafirishaji, hatuoni mkakati wa kitaalum wa kuboresha shirika hilo huyu mtu amezeeka amepewa kijana mdogo under 40 anaweza kusaidia kuleta mapinduzi

4. Justin Mwandu - Ameshindwa kuboresha shirika la NIC, jamaa huyu ni mwoga na very slow learner, NIC inaweza vipi kushindwa na Heritage insurance?

5. William Erio - Wa PPF, soon wastaafu watamlaani huyu mtu, kila maazimio ya kuongezwa pension hayapeleki serikalini wala hafanyi juhudi za kusaidia wazee wastaafu..

Kuna haja ya wapenzi na wanachama CCM kuwakamia serikali yetu iwaondoe hawa..na wengine wabovu..kwakuwa ni utekelezaji tu unaolalamikiwa wla si sera sera ziko OK.

Ccm jamani hii ni ya wapi tena?MBONA HATA KIKWETE NI MBOVU,Sasa Pinda anaweza kumrekebisha Jakaya?
 
Walishachoka kusikia.

hivi mtu amesoma form one hadi form four akapata division "0" anaweza akafanya wounders akapata div. 1 wakati wa kurisiti mtihani? tusijazane ujinga, huyo pinda utendaji wake unadumazwa na jk kwa kuingilia kila kitu akitaka afanye yeye na majukumu yake anashindwa kutimiza, anaishia kuwa mfunguzi wa mikutano, kama kungekuwa na dalili ya kuamka na kujua wamepotea wasifefanya mafdudu waliyofanya kwenye kuwachagua wakuu wa mikoa, so CCM ni scraps, hakuna jipya tunaendelea kuandaa kaburi lenu day to day, hii ya igunga ni sindano ya sumu tunawapiga mtakufa taratiiibu haku mkiwa hamjui nini kinachowaua(kisiasa-)
 
Point taken..ndio maana itakuwepo katiba mpya kupunguza power of excutive in particular president

Ikiwemo swala la wizara ngapi ziwepo na teuzi zifanywe vipi?

Kwa nchi yetu mimi mtazamo wangu wala huhitaji kwenda mbali ukimuweka Magufuli nafasi ya Pinda hawa wadudu wote niliowataja hapo juu wanabadilika siku moja na wanaanza ku deliver

Wewe unaamini katika kubadilisha enitre system..lakini mimi naamini "strong personalities build strong systems"

Obama once said, 'Africa need strong institutions and not strong personalities'
I agree with him kama nchi ikiwa na system mtu yoyote anaweza kutawala. Kwa hapa tulipo Tanzania hatuna sysytem hivyo ni lazima tung'oe hii ccm ili tuweze kujenga system na hasa kupitia katiba mpya na mtu momoja atakayetuonyesha njia mpya sio haya makapi ya ccm.

CCM nononononononononon again!
 
Chanzo cha habari ktk familia ya mzee john kimario zimesema.'DC Wa IGUNGA Ni mkriso mkatoriki anasali ktk kanisa la MT BIKIRA MARIA MAMA WA HURUMA MBEZI BEACH. Bi FATUMA alifikia uamuzi wa kubadili dini baada ya kupata mchumba mkriso ndugu JOHN KIMARIO Ambaye ni kiongozi wa juu wa kamati tendaji za kanisa MBEZI. Ndugu FATUMA(dc igunga) anamiliki shamba la mifugo ikiwemo NGURUWE HUKO TEGETA. anashiriki ktk ibada za jumuiya ndogo ndogo ktk mtaa wao. 'SUBIRINI PICHA ZA NDOA YAO SOON'
 
Duh! kumbe ni mkristu, Bakwata watajificha wapi sasa? Kwel JF ni kiboko.
Tuma picha za ndoa mkuu.
 
acheni ujanja ujanja,hautasaidia, nyie muombeni radhi maisha yaendelee,mbona very simple tu,mboe hata katibu kata wa chadema huko igunga anadike barua hata ya mistari minne inatosha,mtakua mmewanyamazisha hao bakwata
 
Mkuu swala la kuomba msamaha lina utaratibu wake aisee na kama hivi ndivyo ilivyo sasa nani wa kumuomba mwenzie msamaha? Je ni Dc ambae alipretend kua yeye ni Muislam kumbe ni Mkristo? na ukumbuke mpaka muda huu huyu Dc ameleta uchonganishi kati ya Cdm na baadhi ya waislam,sasa je nan wa kumuomba msamaha mkuu kwa uelewa wako hapa?
 
Acheni kuchanganya mambo hapa..out of topic
 
Nimeikumbaka hii thread..

As of now amebaki William wa PPF inabidi abadilike kabla rungu la Chama halijampitia.
 
Back
Top Bottom