Mfuko wa NHIF ni Moyo wa huduma za afya nchini kwa private na hospitali serikali ifuatilie kwa karibu inaonyesha hali mbaya kunusuru afya za wananchi

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Dec 13, 2019
1,006
1,171
Hivi Karibuni tumesikia sera nzuri ya bima kwa wote Ila ikiwa na Changamoto kubwa ya utekelezaji
Mkakati wa kwanza iliatakiwa kuumarisha kwanza mfuko wa NHIF

Mpaka Sasa tumeshasikia tamko la Vituo vingi vya afya ambavyo vilikuwa mbadala na ushindani wa HUDUMA Bora kwa wananchi vikisitisha HUDUMA

Kiuhalisia ni ngumu kuendesha kituo au Biashara mienzi zaidi ya mitatu bila kulipwa haswa private ambayo imeajiri vijana wengi waliokosa kazi serikali, ununue dawa na mahitaji mingine

Nikianza na usimamizi wa mfuko inaonyesha Kuna udhaifu mkubwa kuanzia ngazi ya chini Hadi juu

Kwa upande wa mapato ,mfuko una uhakika wa mapato ya uhakika KUTOKA kwa wanachama wao Kila mwenzi

Changamoto kubwa naona iko kwenye usimamizi wa matumizi ya mfuko
Na hapa ndipo waziri wa Afya anapaswa kutazama zaidi
 
Back
Top Bottom