Kwa wale wasiopenda kujikuta wanafanikisha Infidelity...

Lizzy dearest, utapeli wa mapenzi unazidi kupaa kila siku. Excuse nzuri kuliko zote ni ile ya ' we have separated, it aint working no more', so hataki ex wake ajue, kuna watoto etc. This lie works kwa wale ama wana ugomvi temporary na unachezewa akili wakati mwenzio ana-solve issues zake, or else mwenza wake yuko masomoni na ana kazi ndogo tu ya kudanganya wanae. U won't show everyone ur new date if u ar not yet divorced, can u?
 
Want some Ngabu dijon mustard?
 
Lizzy, kuna watu hopeless wewe, they define the word! Kuna mijitu inasafiri na small house safari za kikazi kabisaa! Na unakuta wanatumia gari maybe 3 mates, na small house ipo na inaitwa 'shemeji'. Na kama ndo una akili fupi, mkewe kaambiwa nitakuwa out of network, mara niliishiwa chaji etc na wewe unajiona mshindi. Taasisi ngumu sana hii!
Mbona mnakua wagumu kuelewa?
Huyo anaedanganywa ndie asiyeruhusiwa kufika au hata kupajua ofisini, kwa maana hiyo hawezi kutambulika ofisini.
 
6. Hakukaribishi kwake anaweza akakwambia anaishi na mtu rafiki/ndugu anaemheshimu sana, hivyo hawezi kukukaribisha anapoishi.....namba 6 tehe tehe tehe....
 
Nachukia wazo la watu kutoka nje ya ndoa zao kama ambavyo nachukia wazo la watu kuingilia ndoa za wengine. Siku zote anaetoka nje ya ndoa yake anastahili lawama, ila sio wote wanaotoka nao wanastahili lawama kwasababu wengine hua hawafahamu kwamba wanaetoka nao ni waume/wake za watu.

Wapo watu ambao hawako interested kutembea na wake/waume za watu ila wanadondoka kwenye mitego ya "niko single, mume/mke wangu amefariki, nimekupenda nataka tuoane" n.k bila kujua.

Kwahiyo nimeona tushee vitu ambavyo mtu anaweza kutumia kugundua kama Mr/Miss Perfect wake mpya ni Mr/Mrs Cheater. Japo sio guarantee, inaweza ikasaidia kwa kiasi chake.

1. Hapokei simu usiku, hajibu msg au anazima kabisa huku akiwa na visingizio lukuki kwanini anafanya hivyo - huu ni muda ambao anakua na familia yake.
2. Mipango yenu sio ya muda mrefu -hivyo lazima kila anachopanga kiendane na ratiba ya nyumbani kwake hivyo anakua mwangalifu kutogonganisha ahadi zenu na mipango ya nyumbani.
3. Hawezi kutumia usiku mzima na wewe, akijitahidi sana anaweza akaiba siku mbili tatu kwa mke/mume wake kwa kudanganyia safari za kikazi ila haiwezi tokea kila mara.
4. Hawezi kutumia usiku mzima na wewe baada ya kumshtukiza kwamba unataka a'spend the night' - anapanga mwenyewe ili awe ameshaandaa mazingira kwa mke/mume wake.
5. Mara nyingi akikupigia simu yuko sehemu ambazo ni public - huko ndiko anapopata uhuru wa kuongea na wewe kwa uwazi.
6. Hakukaribishi kwake, anaweza akakwambia anaishi na mtu. . rafiki/ndugu anaemheshimu sana hivyo hawezi kukukaribisha anapoishi.
7. Anaweza akakutambulisha kwa marafiki zake (wanaomfichia siri) ila sio ndugu zake, especially wale watu wazima.
8. Yeye ndie anaepanga/suggest wapi mkutane ili kuepuka kukutana na watu asiotaka wawaone pamoja.
9. Ukitaka akusindikize sehemu/kwenye function anatafuta visingizio hata kama alishakwambia siku hiyo atakuwepo kwaajili yako na angependa mkutane kama kawaida.
10. Siku za sikukuu anakua 'unavailable' kwako.
11. Wakati mwingine simu yake ikiita anaiignore, akipokea anaomba utulie au anasogea pambeni.
12. Marufuku kufika ofisini kwake coz anajua ofisi inamtambua mkewe.
13. Hapendi ushike simu yake,na huwa mkali sana akikufuma hata kama unamuwekea kwenye charger
14. Wanachagua sana sehemu za kula,kufanya mazungumzo na kupumzika,mara nyingi huenda sehemu zenye watu wachache,nje ya mji au hupenda muonane sehemu zilizo na giza na watu wengi waasipopita au nyumbani kwa mwanamke,na husisitiza au hata kukung'ang'aniza upange mitaa fulani fulani....!!
15. Wengine hupenda mkikutana in public basi awe na rafiki yake wa kiume muwe watatu au zaidi,ili hata kama kuna wa kumuwekea doubts apate wakati mgumu kujua uko na nani hasa pale mtakapokuwa kwa public....halafu kuna wale wanapenda sehemu zinazojaa sana kama club ili iwe ngumu kuwa noticed....
16. Kwenye simu yake kakusave 'fundi ' au jina lako halisi( na si honey mpz darlin)

Lizzy, hayo mambo yote uliyoandika ni ya msingi, pamoja na kuonyesha kuwa wewe mwenyewe au watu wa karibu yako wameshalizwa sana na waume za watu. Tatizo wanawake wengi wanaliona hilo hata kama hawataki ku date waume za watu, ila because of being naïve, they end up in the list.
Apart from that, kuna waume za watu ambao wanawekaga bayana kabisa kuwa wako married na wanazipenda familia zao, lakini unakuta wanawake wanalikubali hilo na dating inaendelea, baadae they fall in love na kuanza kutaka kupindua kabisa mke, then wanaishia kubwagwa. Wakitoka huko wanaanza kudanganya watu kuwa hawakujua kuwa yule alikuwa mume wa mtu! Kuna mambo mengi sana yanalizunguka hili jambo, let's look at it kwa mapana zaidi.
 
he he he umeniacha hoi kwenye kipengele cha kuseviwa kwenye simu....wengine hawasave kabisa jina anaweka namba kichwani
 
Lizzy, hayo mambo yote uliyoandika ni ya msingi, pamoja na kuonyesha kuwa wewe mwenyewe au watu wa karibu yako wameshalizwa sana na waume za watu. Tatizo wanawake wengi wanaliona hilo hata kama hawataki ku date waume za watu, ila because of being naïve, they end up in the list.
Apart from that, kuna waume za watu ambao wanawekaga bayana kabisa kuwa wako married na wanazipenda familia zao, lakini unakuta wanawake wanalikubali hilo na dating inaendelea, baadae they fall in love na kuanza kutaka kupindua kabisa mke, then wanaishia kubwagwa. Wakitoka huko wanaanza kudanganya watu kuwa hawakujua kuwa yule alikuwa mume wa mtu! Kuna mambo mengi sana yanalizunguka hili jambo, let's look at it kwa mapana zaidi.

I see u have ma two cents hapa....ila hawa watakuwa 'hawajafall kwen hiyo trap' bado lol
 
Lizzy, kuna watu hopeless wewe, they define the word! Kuna mijitu inasafiri na small house safari za kikazi kabisaa! Na unakuta wanatumia gari maybe 3 mates, na small house ipo na inaitwa 'shemeji'. Na kama ndo una akili fupi, mkewe kaambiwa nitakuwa out of network, mara niliishiwa chaji etc na wewe unajiona mshindi. Taasisi ngumu sana hii!

King...lol morning! Taasisi kama taasisi iko sawa sema siye ndo twaifanya ngumu au vipi....iyo AK 47 apo hadi upull the triger ndo unajua moto wake....lol
 
Back
Top Bottom