Kwa wale wasiopenda kujikuta wanafanikisha Infidelity...

Umewasilisha vizuri sana, additional wako cheaters wanapokua wamedanganya kwamba wameenda safari kumbe si kweli, wanapokua wanarejea home hurudi na vitu kama gunia la mkaa, Kuku, Matunda, Samaki kutegemea na geografia ya products ipi inayopatikana kwa wingi kule alipodanganya ametokea. Ilhali bidhaa hizo anakua amezinunulia hapohapo mji anapoishi.
 
Si kila mtu anakubali kuwa OPTION, wanaume wanajua kabla ya kutongoza kuwa possibility ya kumpata mwanamke unayemuhitaji ambaye hafanyi biashara ni ndogo kama ukimpa ukweli huo...just curious...unawaambiaga kwamba umeoa?....lol:washing:

kuwa na mke
na kuwa na girlfriend ni tofauti?

wengine anaishi na gf....hapo je??????
 
mhhhhh.....poleni sana.......

kwani si bora mtu useme tu nina mtu....ili ratiba iwe rahisi????

na Lizzy no 7 ucjidanganye.....2nakutana kwenye misiba/sherehe na 2nachangamkiwa wote pa1, hapo wanacheza karata 3 ucmjue mhucka,hili game Lizzy we acha 2....hapo mengi 2nafanyiwa/yaona 2najikausha 2 na hakuna liclowezekana hapo, tena ukimkuta mwenye maneno matamu ndio kabisaaaaaa......
 
Nyamayao hao ni wale wanaokula sahani moja na ndugu zao. Mke anabaki kuchekwa, wanaojua wananong'onezana tu.
 
namaanisha kama mtu anaweza kuwa na sifa zote hizo lakini hayuko kwenye ndoa

but ana on an off gf....get it?

You are smart and looks like am the dumb one here....ulichomaanisha mtu aweza kuwa na girlfriend na akawa ana behave kama kama Lizzy alivyosema?? Sasa kwa kujua nature ya wadada wengi kupenda competition atleast kama possibility ya kumchukua ipo kubwa kwanini mwanaume umdanganye?? mwambie tu nina girlfriend,ufaidi...ROFL
 
rafiki yangu yeye ameoa, na akipata kimada ama nyumba ndogo basi siku za mwanzo yupo single, ila akishapata utamu wake basi atamwambia live 'nimeoa so kuwa makini na sms zako na simu zako' hapo binti huwa anakubali kila atachoambiwa kama mbuzi wa kafara vile.
 
umeona eeh.
ndo maana nasema hii definition ya mke iko 'complicated'
mwingine ameishi na gf miaka,anatambulika as mke but hawakufunga ndoa...

hiyo ROFL ndio nini?????
 
na Lizzy no 7 ucjidanganye.....2nakutana kwenye misiba/sherehe na 2nachangamkiwa wote pa1, hapo wanacheza karata 3 ucmjue mhucka,hili game Lizzy we acha 2....hapo mengi 2nafanyiwa/yaona 2najikausha 2 na hakuna liclowezekana hapo, tena ukimkuta mwenye maneno matamu ndio kabisaaaaaa......

Heri ya mwaka mpya Nyamayao...miss you dearly..!

Kweli ulichosema, tunafanyiwa drama sana mpaka wakati mwingine huwezi amini uanchokiona as in huyo mume unayempenda na nduguze waweza kuwa mashetani wanaotembea ardhini...duh...sasa hayo maneno,utajiona fundi na kufikiri you are doing him a favour kuwa nae,kumbe zote longolongo!
 
rafiki yangu yeye ameoa, na akipata kimada ama nyumba ndogo basi siku za mwanzo yupo single, ila akishapata utamu wake basi atamwambia live 'nimeoa so kuwa makini na sms zako na simu zako' hapo binti huwa anakubali kila atachoambiwa kama mbuzi wa kafara vile.

Kaaazi kweli kweli.
Hao wanawake nao sijui niwaweke kundi gani!!!
 
umeona eeh.
ndo maana nasema hii definition ya mke iko 'complicated'
mwingine ameishi na gf miaka,anatambulika as mke but hawakufunga ndoa...

hiyo ROFL ndio nini?????

Kwa kweli, ila kuna sheria inayomtambua mwanamke aliyeishi na mwanamme zaidi ya miezi sijui mitatu au sita kuwa mke...so the fact kwamba hukwenda nae kanisani au kwa Sheikh haimaanishi yeye si mke....utata wa definition+dini na sheria sasa!!

ROFL- Rolling On Floor Laughing!
 
You are smart and looks like am the dumb one here....ulichomaanisha mtu aweza kuwa na girlfriend na akawa ana behave kama kama Lizzy alivyosema?? Sasa kwa kujua nature ya wadada wengi kupenda competition atleast kama possibility ya kumchukua ipo kubwa kwanini mwanaume umdanganye?? mwambie tu nina girlfriend,ufaidi...ROFL

Tatizo ni kwamba hawezi jua nani yupo tayari kuingia vitani na nani hayuko. Ila bado ni ustaarabu(japo kiduuunchu) kumweleza mtu ukweli akikubali ajue kabisa anachokubali.
 
Hahahaa. . . Punguza munkari dearest.Ila kweli wanaboa sana. . . wote wake kwa waume. Hapo kwenye list hata sina cha kuongeza maana zimejitosheleza. . . ntachakachua kidogo niziweke ubaoni.

He he he dearest, umenigusa leo sitapata usingizi, umenigusa haswaaa....lol

Ngoja tupashane siri sasa,tukiwashtukia tunajua cha kuwafanya....lol
 
Back
Top Bottom