Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 3,839
- 3,085
yaaani wanangu wana akili balaaa
Nakubali Geniveros watoto wetu ni vichwa
yaaani wanangu wana akili balaaa
Not always the case. Mbona mi nimerithi akili za baba?Kwa tafiti hii nashawishika kuoa mwanamke mwenye akili nyingi darasani,kumbe watoto hurithi akili kutoka kwa Mama zao.Kama mama ni kilaz*a naye mtoto atakuwa kilaz*a na kama Mama ni kichwa darasani naye mtoto wake atakuwa kichwa darasani kumbe wakina Baba hawachangii chochote kumfanya mtoto awe ana akili
View attachment 422374
NB: POLENI MNAOTAFUTA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA MIE KUANZIA SASA NATAFUTA MWANAMKE MWENYE AKILI DARASANI ILI WATOTO WETU WAWE GENIUS
Wameula nn?kama una akili watoto wameula mkuu
Sikulijua hili, ngoja niyagute wife wa pili mwenye vigezo hivyo maana huyu niliye nae nahisi nimebugi100% True.Kuna lecture mmoja wa chuo kikuu mwanamke aliniambia mtoto wako kuwa na IQ kubwa inachangiwa sana na akili za Mama yake na historia ya Familia unayoa Bibi yake na kwa upande Bibi mzaa Mama.Mwanamke anachangia asilimia kubwa ya IQ ya mtoto.
mie mkuu nimeshathibitisha hilo wala sipingi kabisaa
Hiyo sifa ya chura ni kawaida..wako wengi wenye chura..na akili...lkn ni wachache wenye uzuri wa sura, chura na akili kwa uchache...mwanamke kuwa na chura na akili si rahisi umkute mwenye vigezo vyote hivyo
Hongera...hukudanganyika na uzuri tu..ulijua kuangalia na vya muhimu...Ni kweli kwa over 100%. Ni declare interest Mimi nimeoa kwa wachaga. Mke wangu ni bright kufaulu kuanzia msingi miaka ile ya secondary za serikali. Kufaulu kijijini peke yake na alipoingia sec kuanzia o level alikimbiza mpaka chuo best student. Kwetu tuna akili ila hatufui dafu kwa wife na kaka zake. Wanangu wote ni historia mpaka Zawadi za taifa walikamata wote. Sasa uje kwenye mambo ya familia na Maendeleo ni hatari. Ukweli unapofikia kuoa kuwa makini ni Nani unataka awe mama wa wanao na kulingana na ndoto ya familia unayotaka.
Kwahiyo unataka kuniambia sasahivi issue ya natural selection tupa kule! Haya bana, Darwin anakuona ujue.
Hujanisoma mkuu. Mtoto kurithi toka mama ni sawa. Ila hapo kwenye kuchagua mke mwenye akili.....dah!. Unajua kwenye kuoa siyo mbwembwe zako, natural selection inahusika mia mia. We angalia au uliza watu waliokuwa skuli miaka hiyo. Wakati wapo skuli, kuna jamaa walikuwa wanapenda kutembea na mademu wakali, vipotable. Kawatafute leo halafu wakuonyeshe wake zao. Unaweza ukauliza "Andrew ndiyo wewe yuleyuleeee au naota". Halafu Andrew now ana kazi nzuri na pesa ya kutosha tu, of which kibongobongo anauwezo wa kung'oa demu yeyote tu na kumuoa. Lakini angalia mke wake wa leo, halafu linganisha na zile totoz zake kareee enzi za skuli anahonga pocket money yake. Lazima useme "Shikamoo Mzee Darwin". Ila dogo inaonekana we nawe bado uko skuli, hivyo hizi story ninazokupa ni khadithi flani tu. We siku moja chepuka waulize kaka zako wenye miji yao. Au hata dingi yako kama zina-click mwanzo mwisho. Atakwambia tu, alikuwa ana-rock na totoz kareeeee, mama yako tupa kule. See me kwenye wedding yako halafu nitakukumbusha.hiyo natural mtoto anairithi kutoka kwa mama tu
utafiti maana yake umeshaprove kwa asilimia kubwaWatoto wanarithi kwa asilimia kubwa toka mama si kweli kwamba asilimia mia wanarithi toka kwa mama,mimi nina ushahidi mzee mmoja alikuwa na akili balaa na watoto wake karibia wote walikuwa maginius na wana kazi nzuri tu mpaka sasa na kuna mmoja ni Physician(RMO) mkoa mmoja hivi! Na mama yao alisoma shule akafeli akaishia kuwa nesi wa Certificate
Kwa hiyo msigeneralize mambo hata watafiti nao sio kweli kwamba wanakuwa accurate 100% si kweli
Kwangu mimi nimeukataa,hauko perfect una errors!!utafiti maana yake umeshaprove kwa asilimia kubwa