Kwa utafiti huu wallah ntaoa mwanamke mwenye akili nyingi za darasani

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,652
8,542
Kwa tafiti hii nashawishika kuoa mwanamke mwenye akili nyingi darasani,kumbe watoto hurithi akili kutoka kwa Mama zao.Kama mama ni kilaz*a naye mtoto atakuwa kilaz*a na kama Mama ni kichwa darasani naye mtoto wake atakuwa kichwa darasani kumbe wakina Baba hawachangii chochote kumfanya mtoto awe ana akili

inherit.jpg

NB: POLENI MNAOTAFUTA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA MIE KUANZIA SASA NATAFUTA MWANAMKE MWENYE AKILI DARASANI ILI WATOTO WETU WAWE GENIUS
 
Sijakuelewa,kipi kisichokuwa kama nilivyosema? Akili za mtoto kurithiwa kwa mama, kuwapo kwa wanawake wenye chura na akili pia au kuendekea kuwapo kwa umuhimu wa chura katika mvuto wa mapenzi pamoja na hoja yako ya kuzingatia akili za mwanamke badala ya umbo?
mwanamke kuwa na chura na akili si rahisi umkute mwenye vigezo vyote hivyo
 
Hauhitaji kutumia nguvu nyingi,tafuta orodha za wanawake wenye akili duniani,wanasayansi,wagunduzi,waliowahi kufanya mambo makubwa ya kutambulika duniani,uone walio na chura watakuwa wangapi.
Tafuta maprofesa wa kike,Phd holders wa kike,Ceos,lawyers n.k uangalie walio na chura kama utawakosa.
 
Ni kweli kwa over 100%. Ni declare interest Mimi nimeoa kwa wachaga. Mke wangu ni bright kufaulu kuanzia msingi miaka ile ya secondary za serikali. Kufaulu kijijini peke yake na alipoingia sec kuanzia o level alikimbiza mpaka chuo best student. Kwetu tuna akili ila hatufui dafu kwa wife na kaka zake. Wanangu wote ni historia mpaka Zawadi za taifa walikamata wote. Sasa uje kwenye mambo ya familia na Maendeleo ni hatari. Ukweli unapofikia kuoa kuwa makini ni Nani unataka awe mama wa wanao na kulingana na ndoto ya familia unayotaka.
 
Kwa tafiti hii nashawishika kuoa mwanamke mwenye akili nyingi darasani,kumbe watoto hurithi akili kutoka kwa Mama zao.Kama mama ni kilaz*a naye mtoto atakuwa kilaz*a na kama Mama ni kichwa darasani naye mtoto wake atakuwa kichwa darasani kumbe wakina Baba hawachangii chochote kumfanya mtoto awe ana akili

View attachment 422374

NB: POLENI MNAOTAFUTA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA MIE KUANZIA SASA NATAFUTA MWANAMKE MWENYE AKILI DARASANI ILI WATOTO WETU WAWE GENIUS
Bado kuna correlation mkuu. Kuna utafiti pia unasema kuwa wanawake wenye makalio makubwa (na pear shaped) huzaa watoto wenye akili kuliko wenzao flat screen. Hapo basi ni kuua two ndeges kwa wani stoni
 
Hauhitaji kutumia nguvu nyingi,tafuta orodha za wanawake wenye akili duniani,wanasayansi,wagunduzi,waliowahi kufanya mambo makubwa ya kutambulika duniani,uone walio na chura watakuwa wangapi.
Tafuta maprofesa wa kike,Phd holders wa kike,Ceos,lawyers n.k uangalie walio na chura kama utawakosa.
mkuu Uso wa nyoka inaelekea una uzoefu mkubwa
 
Ni kweli kwa over 100%. Ni declare interest Mimi nimeoa kwa wachaga. Mke wangu ni bright kufaulu kuanzia msingi miaka ile ya secondary za serikali. Kufaulu kijijini peke yake na alipoingia sec kuanzia o level alikimbiza mpaka chuo best student. Kwetu tuna akili ila hatufui dafu kwa wife na kaka zake. Wanangu wote ni historia mpaka Zawadi za taifa walikamata wote. Sasa uje kwenye mambo ya familia na Maendeleo ni hatari. Ukweli unapofikia kuoa kuwa makini ni Nani unataka awe mama wa wanao na kulingana na ndoto ya familia unayotaka.
mkuu Zogwale nakuunga mkono 100%
 
Bado kuna correlation mkuu. Kuna utafiti pia unasema kuwa wanawake wenye makalio makubwa (na pear shaped) huzaa watoto wenye akili kuliko wenzao flat screen. Hapo basi ni kuua two ndeges kwa wani stoni
ha ha ha ha ha unazingua
 
Back
Top Bottom