Kwa utafiti huu wallah ntaoa mwanamke mwenye akili nyingi za darasani

Kwani wamesema unarithi historia ya mama au akili ya mama??? Najua akili yake na ya baba ndo maana nikasema nmerithi ya baba. Na baba yangu ni my real biological father kwa DNA kabisa!
ulichoandika sijakuelewa kabisaa mkuu
 
Hapo nakuunga mkono,bora akili za biashara kuliko za darasani

kama kuna kaukweli vile maana Mie nimeolewa na mkaka kichwa kweli lakini Mimi kusema ukweli nilikuwa mgumu sana kuekewa. watoto wangu hakuna hata mmoja kachukua uwezo wa baba Yao wote wamefuatisha akili zangu. kidogo hii mada imenifungua kwa kweli
 
Daaaah kama ni hivyo itabidi me nitafute mwanamke mwenye akili yA kifanya biashara ili watoto wangu wawe na akili za biashara tu, kibongo bongo akili za darasani zinaweza zisikutoe wala nn

Mkuu hongera kwa kuona mbali
 
wakuu, mbona mi nakautafiti kengine hapa

wanawake wenye makalio makubwa huzaa watoto wenye akili sababu Mtoto anakuwa anapata mafuta mafuta yenye virutubishoo vya akilii
 
Daaaah kama ni hivyo itabidi me nitafute mwanamke mwenye akili yA kifanya biashara ili watoto wangu wawe na akili za biashara tu, kibongo bongo akili za darasani zinaweza zisikutoe wala nn
 
acha ujinga mama boy,uliona wapi mwanamke kagundua kitu chochote duniani?vitu vyote hivi ni wakina isaac newton na wababe wengine au ndo umecomment upate like nyingi
ngoja nifanye utafiti huo
 
Mi nadhani itategemea na mtoto huyo ni jinsia gani.
Kwasababu baiolojia yangu niliyopitiapitia ya hapa na pale inanionesha kwamba ili mtoto atokee kuna sharing ya vinasaba(chromosomes) ambavyo kwa idadi yake ni 46, ambapo mama anatoa 23 na baba 23.
Ili mtoto wa kike apatikane ni lazima mbegu X ya baba kati XY alizonazo ni lazima iungane na na X ya mama.
Lakini wa kiume ili apatikane ni lazima baba adonate Y yake na mama X yake. Kwa mujibu wa baiolojia wanasema hiyo Y it carries nothing isipokua tu kupresent sex ya mtoto.
So kwa case hii ya pili, nadhani huyu wa kiume inaonesha ndo atakua muathiriwa mkubwa wa hiyo research japokua hatujui source yake.

NB: Mimi sio daktari nimejaribu kuchanganua kwa baiolojia yangu tu ya shule. Madaktari wakija wanaweza kutupa majibu sahihi
 
Anaweza kuwa na akili za darasani halafu kwenye maisha halisi ni zerooo ...halafu kibongo bongo akili za darasani hazina mchango mkubwa wa maendeleo period.
 
Back
Top Bottom