Kwa utafiti huu wallah ntaoa mwanamke mwenye akili nyingi za darasani

" NB: POLENI MNAOTAFUTA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA MIE KUANZIA SASA NATAFUTA MWANAMKE MWENYE AKILI DARASANI ILI WATOTO WETU WAWE GENIUS"

asante!
 
Kwa tafiti hii nashawishika kuoa mwanamke mwenye akili nyingi darasani,kumbe watoto hurithi akili kutoka kwa Mama zao.Kama mama ni kilaz*a naye mtoto atakuwa kilaz*a na kama Mama ni kichwa darasani naye mtoto wake atakuwa kichwa darasani kumbe wakina Baba hawachangii chochote kumfanya mtoto awe ana akili

View attachment 422374

NB: POLENI MNAOTAFUTA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA MIE KUANZIA SASA NATAFUTA MWANAMKE MWENYE AKILI DARASANI ILI WATOTO WETU WAWE GENIUS

Wanawake wenye makalio makubwa hamna cha maana zaidi ya kutikisa makalio mitandaoni
Agnes masogange
Wema sepetu
Amber lulu
Gigy money
Linah

Unategemea hao watoto wao akili zitoke wap
 
edit neno mie, weka mimi. naskia ke, ndo hupendelea sana kusema mie. (kidding)
 
mkuu hebu kafuatilie historia ya mama yako upate ukweli halisi
Kwani wamesema unarithi historia ya mama au akili ya mama??? Najua akili yake na ya baba ndo maana nikasema nmerithi ya baba. Na baba yangu ni my real biological father kwa DNA kabisa!
 
Kwa kuwa utafiti huo ni wa mzungu, sioni anaehoji. Ungetolewa na TWAWEZA, watu povu lingewatoka.
Ukandamizaji wa fikra hautaisha endapo tutaendelea kuamini nyeupe ni amani na nyeusi ni balaa.
Wee nawe hujui kuwa "usi mwamini muongo hata kama atasema ukweli"..hawaaminiki TWAWEZA kwakuwa walishakuwa waongo since there hvyo hata wasema ukweli ni marufuku kuwaamini
 
Wanawake wenye makalio makubwa hamna cha maana zaidi ya kutikisa makalio mitandaoni
Agnes masogange
Wema sepetu
Amber lulu
Gigy money
Linah

Unategemea hao watoto wao akili zitoke wap
Gaspare Mbile unaona hapo kuwa na chura kubwa ni ukahaba na mtoto atarithi kwa mama
 
Kwa tafiti hii nashawishika kuoa mwanamke mwenye akili nyingi darasani,kumbe watoto hurithi akili kutoka kwa Mama zao.Kama mama ni kilaz*a naye mtoto atakuwa kilaz*a na kama Mama ni kichwa darasani naye mtoto wake atakuwa kichwa darasani kumbe wakina Baba hawachangii chochote kumfanya mtoto awe ana akili

View attachment 422374

NB: POLENI MNAOTAFUTA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA MIE KUANZIA SASA NATAFUTA MWANAMKE MWENYE AKILI DARASANI ILI WATOTO WETU WAWE GENIUS

No, you did not inherit your intelligence from your mother’s genes
No, you did not inherit your intelligence from your mother's genes | Genetic Literacy Project
 
Back
Top Bottom