Kwa nini wanawake wengi wanapenda kumegwa bila condom?

Mkuu kwanza ukitumia lugha ya staha ujumbe pia utafika na watu watakuelewa...neno kumwegwa halijakaa sawa kabisa.
Back to the topic...hakuna yoyote apendae kutumia condom...twalazimika tu...hii ni kwa wote ie men n women
 
Umesema kweli na inasikitisha saana... Kuna rafiki yangu mmoja (tena msomi) nashangaa siku hio katoka kwa boy friend wake ana so much energy na furaha ya juu saaana.... ikabidi nimuulize kulikoni?? The jibu alinipa niliishiwa pose kabisa... nilishindwa sema lolote; kua huyo boyfriend wake toka wameanza huo uhusiano wa two months siku hio ilikua ni mara ya tatu kufanya hilo tendo - Siku zoote the guy alikua anatumia Condom, but siku hio hakutumia.... Furaha ya huyo rafiki yangu ilikua kwamba sasa the Guy inaonesha kaanza kumuamini (yeye mdada) maana kalala nae bila condom, hivo ni kisa cha firaha yake!! Imagine ni mwana chuo.... kasoma but elimu bado haijamkomboa pande hizo.... kwamba kipimo cha kupendwa ni kulalwa bila condom... while i thot otherwise....
kiukweli inasikitisha.yakikukuta ndio unabaki kujuta.
 
Mkuu kwanza ukitumia lugha ya staha ujumbe pia utafika na watu watakuelewa...neno kumwegwa halijakaa sawa kabisa.
Back to the topic...hakuna yoyote apendae kutumia condom...twalazimika tu...hii ni kwa wote ie men n women

Badala ya neno "Kumegwa" wewe ungependa atumie neno gani mbadala?
 
Inasikitisha, ila kiukweli hali ni mbaya na tusiwe wapimaji kwa macho, muone kila umtakae ameathirika na ujikinge nae
 
Kuna watu hawaamini kama kuna ngoma au ngona inaua. Nakumbuka nikiwa chuo jamaa zangu watatu walikuwa wanachukua mademu jol na mitaa ya ohio wanapiga kavu(wanadai wameilainisha kwa kuingia chumvini so imelainika no ngoma) ni miaka 7 sasa sijui wako wap ngoja nitawatafuta kama wapo hai.
 
Ukweli ni kuwa wanawake na wanaume wengi hatupendi kutumia condom,
  1. Wengi wa wanaume wanapopata wanawake ambao waliwasumbua sana huamnini ni waamifu na hivyo huona hakuna haja ya kutumia condom jambo ambalo si sahihi.
  2. Wengi wa wanawake hawapendi wanaume watumie condom kwa sababu hawajisikii kama ambavyo mtu akido bila condom, hivyo kama mwanamke huyo akikujengea imani kidogo tu kuwa wewe ni mzima basi suala la condom litabaki ni option kwa mwanaume.
  3. Mapenzi ya muda mrefu bila kupima, hupelekea wapenzi kuzoena na kuaminiana baada ya kila mmoja kulewa mapenzi na kusahau kabisa historia ya mtu huyo ikoje hapo nyuma.
Hayo ni baadhi ya mambo yanachangia wanawake na wanaume wasitumie condom.
 
Duh! hio tittle tu nimechoka! na wewe ukaamua kwenda hivo hivo ukidhani utamu utapungua eeeh, imekula kwako!
 
kweli inabidi utafakari sana hata kabla ya kutujuza maana wengine mnazni ni sifa kumbe kilio mbele
 
mkuu kumegwa ndo kufanya nini?? wamekuwa sacramenti sasa? wacha kuwadhalilisha wanawake. tafadhali unapotuma post yoyote kuwahusu wakina dada jaribu kuichambua vizuri na hakikisha umetumia lugha nzuri isyowadhalilisha kina dada zetu.
 
Salaaam JF Members!,
Katika hangaika yangu, nimeshakutana na wadada kama wa nne hivi kwa nyakati tofauti, ambao katika hatua za kufanya mapenzi, walikuwa wananing'ang'aniza nisivae condom!!. Hivi ni nini mzizi wa hulka hii kwa wanawake. Kwa kuwa hata wengine waliokubali kun aambao nilikuja kuuza mechi baadae lakini ninaekumbuka kuwa aliresist ni mmoja, na sababu aliyoitoa ni kuwa yuko kwenye siku za hatar. Hivi wanawake hawaogopi ukimwi???? Au ndo kusema wengi wana UKIMWI so wanataka kuambukiza wengine?



pamadaku.
 
Back
Top Bottom