Kizimkazimkuu
JF-Expert Member
- Nov 8, 2007
- 337
- 234
Umesema kweli na inasikitisha saana... Kuna rafiki yangu mmoja (tena msomi) nashangaa siku hio katoka kwa boy friend wake ana so much energy na furaha ya juu saaana.... ikabidi nimuulize kulikoni?? The jibu alinipa niliishiwa pose kabisa... nilishindwa sema lolote; kua huyo boyfriend wake toka wameanza huo uhusiano wa two months siku hio ilikua ni mara ya tatu kufanya hilo tendo - Siku zoote the guy alikua anatumia Condom, but siku hio hakutumia.... Furaha ya huyo rafiki yangu ilikua kwamba sasa the Guy inaonesha kaanza kumuamini (yeye mdada) maana kalala nae bila condom, hivo ni kisa cha firaha yake!! Imagine ni mwana chuo.... kasoma but elimu bado haijamkomboa pande hizo.... kwamba kipimo cha kupendwa ni kulalwa bila condom... while i thot otherwise....
Asha Dii nimependa hilo neno Kulwalwa.....zamani ndio walikuwa wanalalana siku hizi duh....