Kwa nini wanawake wengi wanapenda kumegwa bila condom?

Roast tamu wajameni, kila mtu anaipenda ila tu kwa kuwa siku hizi magonjwa mengi ndio maana watu wanatumia condom. But still right now kuna AIDS ila watu wanadare kula roast bila kujali, sasa kungekuwa hamna AIDS, watu wangekuwa wanakula roast daily!!! <b>Ile kitu tamu balaa, haina mfanowe!<font color="#FF0000"> Wadada wanataka kuenjoy to the maximum.</font></b>
<br />
<br />
roast ha ha
 
mtu ahamue mwenyewe kupata radha nzuri ya sex kwa vijidakika na kisha kupata karaha ya fikra ya maambukizi ya HIV for the rest of maisha yake,asiyependa kutumia condom muogope anakutafutia membership ya victims
kwaiyo unamaanisha ata kama ukiwa umeoa utakuwa bado unatumia kondom?na huwe mwaminifu kwa mkeo uctoke ata nje ya ndoa na ukatumia kondom
 
unatisha.. kwahiyo hata huyo aliyekua ktk siku zake wewe ukakandamiza tu.. Duh!!!!!?
 
Mm mwenyewe situmiagi hiyo kondom wala sijawahi kuiona.
Kwa uelewa wangu. Kama unapiga zako kimoja taratibuu bila kondom haina cha ukimwi wala nn ila ukijifanya fundi ndio unaondoka na maradhi.
 
Mi nakushauri acha uasherati na uzinzi, hata km hutapata std, lkn maisha yako hayatakuwa mazuri, kimwili na kiroho pia. Acha kabisa hako katabia kako kakuonjaonja, kama unamke mheshimu mke wako, kwani imeandikwa kuwa " Ndoa na iheshimiwe na watu wote" . Km hujaowa subiri wkt wako. Umesikia Ndugu yangu analyst?
 
Du ina maana mchumba wako anaweza kukuacha akimpata mtu anayedo bila condom? Huyu jamaa ni mzinzi lakini kaokoa wengi ingefaa ichapishwe kwenye gazeti watu wajuw kuwa usimuamini mdada hata kama mmepima jana.
 
Umesema kweli na inasikitisha saana... Kuna rafiki yangu mmoja (tena msomi) nashangaa siku hio katoka kwa boy friend wake ana so much energy na furaha ya juu saaana.... ikabidi nimuulize kulikoni?? The jibu alinipa niliishiwa pose kabisa... nilishindwa sema lolote; kua huyo boyfriend wake toka wameanza huo uhusiano wa two months siku hio ilikua ni mara ya tatu kufanya hilo tendo - Siku zoote the guy alikua anatumia Condom, but siku hio hakutumia.... Furaha ya huyo rafiki yangu ilikua kwamba sasa the Guy inaonesha kaanza kumuamini (yeye mdada) maana kalala nae bila condom, hivo ni kisa cha firaha yake!! Imagine ni mwana chuo.... kasoma but elimu bado haijamkomboa pande hizo.... kwamba kipimo cha kupendwa ni kulalwa bila condom... while i thot otherwise....


KARNE HII....... BOLINGO BILA NDOM, HIO NI RUSSIAN ROULETTE, Wasomi ndio mwanzooo hawana muelewo wa Maisha siku hizi!!
 
Kwa wanawake wenye nyeti kavu, condom ni maumivu tu, lkn zipo sabab pia nyingi ambazo zimeshaelezwa na wengine..
 
sababu,kuna wengine wanaamini ya kuwa condom ni kwa ajili ya malaya tu{hao huwa hawapendi kujiingiza kundi hilo}wengine huhisi kwa kuwa wao wamependa kupitiliza,huyo anaempenda kwake special ni bila condom,wengine wanaona condom haina raha ni kama unawasokomezea liplastic,wengine tufe wote anajisikia raha anapomrushia mwenzake vidudu,mwengine wanapenda wanase mimba pengine wataolewa.sababu zipo nyingi,ila mihangaiko ya nini jamani?kuwa na mmoja huwa hatoshi mpaka vijana muhangaike?

sasa ukiwa na mmoja utakosa xperience halafu itakua tabu kwenye ndoa kumbe huna uzoefu../
 
haiwezekani wote wakawa na sababu sawa ila muulize kila mmoja atakueleza kwanini yeye binafsi anapenda kavkav?
 
Salaaam JF Members!,
Katika hangaika yangu, nimeshakutana na wadada kama wa nne hivi kwa nyakati tofauti, ambao katika hatua za kufanya mapenzi, walikuwa wananing'ang'aniza nisivae condom!!. Hivi ni nini mzizi wa hulka hii kwa wanawake. Kwa kuwa hata wengine waliokubali kun aambao nilikuja kuuza mechi baadae lakini ninaekumbuka kuwa aliresist ni mmoja, na sababu aliyoitoa ni kuwa yuko kwenye siku za hatar. Hivi wanawake hawaogopi ukimwi???? Au ndo kusema wengi wana UKIMWI so wanataka kuambukiza wengine?

inategemea!
 
Back
Top Bottom