Issakwissa
New Member
- Jul 30, 2011
- 1
- 0
naomba tujadiliane ni kwanini sehemu kubwa ya nchi yetu vijana hawapendi somo la hesabu wakati tunajua fika ni kiunganishi cha masomo ya sayansi kama biology,chemistry na physics haya ndio masomo yatakayotupelekea kujikomboa kwenye hii tecohama .kama watanzania tutumie njia gani ili tutoe huu ugonjwa sugu.