Kwa nini tunafuatana fuatana kama kumbi kumbi??

Mpolee, kuna kitu natamani ukielewe....kuna wakati inabidi hata kama humheshimu mtu,basi mawazo yake uyaheshimu na kuyaacha vile yalivyo kama huna budi kuyashughulikia....! Mfano: Mpole ni mtoto, wewe si mtoto unavyojijua....ana sababu zake na pengine ipo siku huyo huyo atasema Mpole is matured kwasababu labda hoja zako,maoni yamebadilika....huwezi mlazimisha mtu afikiri,akuzungumze utakavyo naye pia hawezi kukulazimisha....unaweza badilika wewe binafsi ukiona kuna ulazima wa kufanya hivyo!

This z awesome mamie, u seems to be very gud mshauri, me love u michille! kp t up! mambo bi gm, me nakupenda wewe umechangamka kama pilipili manga lol. unahandle mambo yako on ur own way, which z gud bana! enjoy sawa bibiex!
 
Asante kwa kunipa cheo ya favorite Goldy!:hug:
ukipewa za uso lazima zirudi kwa njia hiyo hiyo. Ila usiwe oversenzitive. Kuna maneno mengine ni ya kawaida tu ila kwa sababu yanatoka kwa mtu fulani unayachukulia vibaya... read twice and take it easy, usiyatafutie tafsiri na yote yatakua sawa tu...
Habari ya shem wangu Mod?

Mwali we another mama ushaur, uku juu kama dege la obama, sina jipya mie nataka kukuambia nakukubali sana, yan comment zako na huo ushungu mie hoi! 9t.
 
Dazpoz/golden M.....Mbona mnafanana....
Wiki ijayo Sanctus ameaandaa meeting hebu njoni mkutane live
 
Dazpoz/golden M.....Mbona mnafanana....
Wiki ijayo Sanctus ameaandaa meeting hebu njoni mkutane live
 
This z awesome mamie, u seems to be very gud mshauri, me love u michille! kp t up! mambo bi gm, me nakupenda wewe umechangamka kama pilipili manga lol. unahandle mambo yako on ur own way, which z gud bana! enjoy sawa bibiex!

me love you too....tuko pamoja!!
 
Tujadili. kwa nini watu wengine hupenda kujifanya wajuaji na lile wanalojua ndio jibu la watu woote. watu wakimuona Golden mpoleee anajiachia au memba mwingine ajijiachia utasikia ooooh mwanaume. oooh mcharuko. oooh uelewa mdogo. dunia kijiji sasa hata wanawake tunaweza. nani anakupa hio haki ya kumwambia GM ni hivo? kama huko kwenu ww ndio mwamuz yaishiage huko huko tusileteane haya mambo jf. watu wengi wamejaa unafiki. ukiongelea ku do utaseeeeeeeeemwa mpaka basi! hivi nyie watu mnataka kuniambia hua hamduu? mnataka kuniambia siruhusiwi kujiachia kila nikijisikia? aaaaiiii!!!

Wewe GM inaelekea kichwa chako kinashika redio Banyamulenge. Sijui kwa akili hiyo kama ya kuku aliyetoka kutotoa vifaranga itakusaidia kuishi na mume. Uwe mstaarabu. Ustaarabu, imani, nidhamu na heshima ni silaha kuu ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom