Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,469
Jamani pole. .
Ge'ez l love u! Nimrfurahi sana ulivyojibu hivi! Have a blessed rest of the weekend!
Jamani pole. .
nakubali na ww jirekebishe kihere here na kujifanya wajua.
GM angalia comments zako, jaribu ku neutralize, usiandike kana kwamba kuna mtu umedhamiria kumpelekea ujumbe. Kuna thread yako tulikuwa tunaijadili naona kama vile mods wameiondoa, and i think it was because of your commets, it's just like you've posted the thread for certain person that I can't mention any way! Just neutralize so that the thread is for all browsers. Sorry for any inconvenience caused. Thank you
hio ndio kauli na sidhan kama umeumia. ni vizuri ujirekbishe itapendeza.
Sasa niumie kwa lipi jamani?
Wakujirekebisha ni wewe uliyekua unatukana wakati mimi nimetulia tuli.
Nmh unataka kuendeleza ligi! U don't need it, it ain't healthy!
Lizzy, punguzeni jazba jf ni yetu sote, tupenda, tujadiliane kwa moyo wa upendo. Bahati mbaya niliwahi kupitia kitengo cha kulazimisha mtu kuwa na nidhamu bila kupenda. This jf, tusifike huko!
Ge'ez l love u! Nimrfurahi sana ulivyojibu hivi! Have a blessed rest of the weekend!
lol,yani hata sauti yangu utaki kusikia bebi ww mjanja kama Sungura,Mxtuma # ya vocha pm. nakupa za uso sikuumbui baby.
Wanawake tupendane, mambo mengine yanatushushia hadhi,tukishindwa kwa madogo hata makubwa tutapata shida kuyamudu.
Changamoto ziko kila mahali,tuvumiliane,tuheshimu tofauti zilizopo baina yetu na tusaidiane.
Wewe nawe. . hiyo jazba unayonilazimishia iko wapi?Lizzy, punguzeni jazba jf ni yetu sote, tupenda, tujadiliane kwa moyo wa upendo. Bahati mbaya niliwahi kupitia kitengo cha kulazimisha mtu kuwa na nidhamu bila kupenda. This jf, tusifike huko!
Wanawake tupendane, mambo mengine yanatushushia hadhi,tukishindwa kwa madogo hata makubwa tutapata shida kuyamudu.
Changamoto ziko kila mahali,tuvumiliane,tuheshimu tofauti zilizopo baina yetu na tusaidiane.
the 1 who cozd the thread 2 b removed is Lizzy & me argue. so far no 1 has done so but her. the msg is 4 all those who ar concerned.
Kaunga usije tu ukarudi na kusema umekua dissapointed. . .
Uwe na weekend njema pia.
Nmh unataka kuendeleza ligi! U don't need it, it ain't healthy!
Fata kilicho kuleta dada\kaka,Mxhizi baby ni kwa ajili ya vocha tu au kuna mengine?
Sijifanyi najua bali najua.