Kwa nini tunafuatana fuatana kama kumbi kumbi??

Nakupenda pia, Golden Mpolee,hizi ndo changamoto za kukaa na watu walio tofauti na wewe. Wapo watakaokukubali,wapo ambao hawatakukubali kabisa. Unachotakiwa ni kumsoma kila mtu,ukiona anachokisema kina maana na unastahili kujirekebisha fanya hivyo,ukiona anachokisema/fanya hakina maana basi tulia tu na usimpe muda/nafasi ya kukukasirisha...Tunaelekea kwenye ubunge,hapo ndo Tanzania nzima kila mtu atakuwa na lake la kusema, hutakuwa na uwezo wa kuwajibu wote...itabidi ushughulikie yaliyo muhimu....na JF anza hivyo hivyo, focus on what is important to you..celebrate with those who celebrate you& enjoy!

Lizzy ni ni muelewa sana, si muda mrefu mtaelewana tu...kila mmoja akiheshimu mawazo ya mwenzie na akichukua changamoto/differences positively...!! Umoja wetu wanawake ndo nguvu yetu......!!

you are my mbunge already ......
 
Dada zangu basi, fanyeni yameisha. Siku zote penye wengi miongano ya hapa na pale haikosekani. Cha muhimu ni kupendana, kuvumiliana na kuchukuliana. Tuna tabia na hulka tofauti so kuchukuliana ni muhimu.
Love U all.

hio ngum soma sig.
 
Nakupenda pia, Golden Mpolee,hizi ndo changamoto za kukaa na watu walio tofauti na wewe. Wapo watakaokukubali,wapo ambao hawatakukubali kabisa. Unachotakiwa ni kumsoma kila mtu,ukiona anachokisema kina maana na unastahili kujirekebisha fanya hivyo,ukiona anachokisema/fanya hakina maana basi tulia tu na usimpe muda/nafasi ya kukukasirisha...Tunaelekea kwenye ubunge,hapo ndo Tanzania nzima kila mtu atakuwa na lake la kusema, hutakuwa na uwezo wa kuwajibu wote...itabidi ushughulikie yaliyo muhimu....na JF anza hivyo hivyo, focus on what is important to you..celebrate with those who celebrate you& enjoy!

Lizzy ni ni muelewa sana, si muda mrefu mtaelewana tu...kila mmoja akiheshimu mawazo ya mwenzie na akichukua changamoto/differences positively...!! Umoja wetu wanawake ndo nguvu yetu......!!

nimekuelewa dada. jua nitamheshm pale atapo niheshim. naona anachagua wa kuwaheshim. siabudii mtu jf hata kama wa kale. mbona ww umeniheshim nimekuheshm.
 
Michelle you are awesome!
Mpoleeee, I hope umesoma na utazingatia. Wewe ni wewe na tunakupenda kama ulivo.
Lizzy nae ni Lizzy na tunampenda kama alivo.
Hapa JF hatukuja kutafuta marafiki, tulikuja kuchangia mawazo.
Lizzy ana haki ya kutoa maoni yake, kama vile na wewe una haki ya kutoa yako.
Muhimu ni heshima tu katika mijadala... I know you can do that.
Chukulia hii kama changamoto yako ya kwanza kama mbunge wangu.
 
hivi nimekuambia ww ndio fav kazeni wang? haya maneno nazingatia. ila nikipewa za uso natoa za uso pia. umeona sig yang?
 
Asante kwa kunipa cheo ya favorite Goldy!:hug:
ukipewa za uso lazima zirudi kwa njia hiyo hiyo. Ila usiwe oversenzitive. Kuna maneno mengine ni ya kawaida tu ila kwa sababu yanatoka kwa mtu fulani unayachukulia vibaya... read twice and take it easy, usiyatafutie tafsiri na yote yatakua sawa tu...
Habari ya shem wangu Mod?
 
nimekuelewa dada. jua nitamheshm pale atapo niheshim. naona anachagua wa kuwaheshim. siabudii mtu jf hata kama wa kale. mbona ww umeniheshim nimekuheshm.

Mpolee, kuna kitu natamani ukielewe....kuna wakati inabidi hata kama humheshimu mtu,basi mawazo yake uyaheshimu na kuyaacha vile yalivyo kama huna budi kuyashughulikia....! Mfano: Mpole ni mtoto, wewe si mtoto unavyojijua....ana sababu zake na pengine ipo siku huyo huyo atasema Mpole is matured kwasababu labda hoja zako,maoni yamebadilika....huwezi mlazimisha mtu afikiri,akuzungumze utakavyo naye pia hawezi kukulazimisha....unaweza badilika wewe binafsi ukiona kuna ulazima wa kufanya hivyo!
 
Back
Top Bottom