Kwa nini tunafuatana fuatana kama kumbi kumbi??

Wanawake tupendane, mambo mengine yanatushushia hadhi,tukishindwa kwa madogo hata makubwa tutapata shida kuyamudu.

Changamoto ziko kila mahali,tuvumiliane,tuheshimu tofauti zilizopo baina yetu na tusaidiane.

Da michelle nakupenda san. una busara. cku ya kwanza nimerud ulikua kind san kwang. cna shda na mwanadam mwingine lkn ni ajab watu wengine hasa lizzy ananiponda then wanakuja wengine kumwambia ani igno kama vile cna akili na ni mtoto mdogo. mm nauliza kama ni hivo y kila nikiweka thread wanakuja kunikorofisha? huu ujumbe uliotoa mm nazingatia sbb wapiga kura weng wanawake. hebu mueleze na lizzy aelewe katika ubongo wake mgumu huo.
 
Dada zangu basi, fanyeni yameisha. Siku zote penye wengi miongano ya hapa na pale haikosekani. Cha muhimu ni kupendana, kuvumiliana na kuchukuliana. Tuna tabia na hulka tofauti so kuchukuliana ni muhimu.
Love U all.
 
Kokutona watonaki
 
Da michelle nakupenda san. una busara. cku ya kwanza nimerud ulikua kind san kwang. cna shda na mwanadam mwingine lkn ni ajab watu wengine hasa lizzy ananiponda then wanakuja wengine kumwambia ani igno kama vile cna akili na ni mtoto mdogo. mm nauliza kama ni hivo y kila nikiweka thread wanakuja kunikorofisha? huu ujumbe uliotoa mm nazingatia sbb wapiga kura weng wanawake. hebu mueleze na lizzy aelewe katika ubongo wake mgumu huo.

Still pushing ehh. . ?
 
Nakupenda pia, Golden Mpolee,hizi ndo changamoto za kukaa na watu walio tofauti na wewe. Wapo watakaokukubali,wapo ambao hawatakukubali kabisa. Unachotakiwa ni kumsoma kila mtu,ukiona anachokisema kina maana na unastahili kujirekebisha fanya hivyo,ukiona anachokisema/fanya hakina maana basi tulia tu na usimpe muda/nafasi ya kukukasirisha...Tunaelekea kwenye ubunge,hapo ndo Tanzania nzima kila mtu atakuwa na lake la kusema, hutakuwa na uwezo wa kuwajibu wote...itabidi ushughulikie yaliyo muhimu....na JF anza hivyo hivyo, focus on what is important to you..celebrate with those who celebrate you& enjoy!

Lizzy ni ni muelewa sana, si muda mrefu mtaelewana tu...kila mmoja akiheshimu mawazo ya mwenzie na akichukua changamoto/differences positively...!! Umoja wetu wanawake ndo nguvu yetu......!!
 
Back
Top Bottom