Kwa nini tunafuatana fuatana kama kumbi kumbi??

wewe kweli mpolee, tena golden mpole maana hii thread na sura yako kwenye iyo avatar ni full upole, ivi zile golden hair umezikata tena? kama vipi kuwa mkali mpolee, fierce mpole au vipi? vocha umepata au jamaa kakuyeyusha?
 
Tujadili. kwa nini watu wengine hupenda kujifanya wajuaji na lile wanalojua ndio jibu la watu woote. watu wakimuona Golden mpoleee anajiachia au memba mwingine ajijiachia utasikia ooooh mwanaume. oooh mcharuko. oooh uelewa mdogo. dunia kijiji sasa hata wanawake tunaweza. nani anakupa hio haki ya kumwambia GM ni hivo? kama huko kwenu ww ndio mwamuz yaishiage huko huko tusileteane haya mambo jf. watu wengi wamejaa unafiki. ukiongelea ku do utaseeeeeeeeemwa mpaka basi! hivi nyie watu mnataka kuniambia hua hamduu? mnataka kuniambia siruhusiwi kujiachia kila nikijisikia? aaaaiiii!!!

Wewe GM inaelekea kichwa chako kinashika redio Banyamulenge. Sijui kwa akili hiyo kama ya kuku aliyetoka kutotoa vifaranga itakusaidia kuishi na mume. Uwe mstaarabu. Ustaarabu, imani, nidhamu na heshima ni silaha kuu ya mwanamke.

He! Kwani amekukosea nini hadi kumsema maneno mabaya hivyo??
Mbona wachangiaji wote waliopita kabla yako hawajamtolea maneno makali hivyo?
Sio uungwana,hajakutaja wala hajatukana mtu dada wa watu.
 
Back
Top Bottom