Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

me namshangaa sana, eti kbs unakuja mbele ya kadamnasi na kuanza kujisifia eti.ohoooo..... Nimeoa mzungu,
mzungu nani bhana hapa, kitu zipo kwenye ngozi nyeusi,
1. Tuna joto miilini mwetu tofauti na huyo kitimoto wako.
2. Mauno na ma-style yooote tunayajua, tofauti na huyo mzungu wako,sanasana atakupa mbinjuko tu.
3. Ngozi zetu zina afya na rutuba tofauti na hao wa jamii ya mkeo, ngozi haieleweki kama ya kitimoto.
4. Weusi sisi tuna shepu, tofauti na hao, katika wazungu 10, 2 tu ndo wenye shepu, waliobaki wote shapeless.
5. ..........................

7804300-beautiful-african-american-woman-with-arms-crossed.jpg

vs
graf.jpg


chaguo ni lako


na mjini sasa ishakuwa ni gemuuu,wanaume kugombea mabwanaa,,
wajifanya waoa,kumbe waolewa wao na usikute hata nazi pia hukuna,lol
 
Hao wazungu tushajiuza sana kwao, hawana lolote................" mwanamke wa kiafrika " hawezi kuuza mwili wake kwa sababu anajitambua yeye ni chombo chenye thamani.. ila wewe " mzungu feki " hauoni tatizo kufanya kitu kama hicho " ABOMINATION !"
 
Hao wazungu tushajiuza sana kwao, hawana lolote................" mwanamke wa kiafrika " hawezi kuuza mwili wake kwa sababu anajitambua yeye ni chombo chenye thamani.. ila wewe " mzungu feki " hauoni tatizo kufanya kitu kama hicho " ABOMINATION !"

We Mbona umejiuza Mpaka ukamuokota huyo Kitimoto wako?
 
hawana lolote ngurusumuu,wenyewe wajitukanaa,,

wazungu hao sasa imewaisha hamu,mjini hapa sasa watahangaika sana wanaume suruali,waache wajishebeduee

Anojiona bonge la Mjanja kuolewa na Mzungu,
Usikute LIKUD alikuwa Shamba Boy au House Boy nyumbani kwa huyo M-bibi wa kizungu.
 
Last edited by a moderator:
1. Mwanazuoni gani hujui kuandika kitu kikaeleweka au kutumia kanuni za uandishi?

( Kanuni za uandishi sio lazima ziwe zile unazo zifahamu wewe hata hivyo point yangu ilikuwa ni kufikisha

ujumbe ambao naamini umeupata na Kama nilicho andika hakijaeleweka nadhani hata usingeweza ku comment )


2. Pia, mwanazuoni wa kweli hawezi kupita akijinadi kuwa yeye ni mwanazuoni kwa sababu kufanya hivyo ni kupingana na dhana nzima ya uanazuoni

( Mimi nimeweza, na kupingana na dhana ya uanazuoni sio dhambi )

3. Huwezi ukawa na neno "wote" ikisha ukawa na neno "hususan", kama ni wote basi ni wote kwa jumla hakuna atokae humo, na kama ni hususan wanawake fulani basi sio wote


(
Mimi nimeweza kutumia neno " wote " kisha nikaongeza na neno " hususani " na nimeeleweka )

4. Fikra na mawazo ya mwanamke wa Kiafrika ni yepi? ..Ni fikra na mawazo yanayo uthamini na kuutukuza uafrika zaidi kuliko uzungu ama utamaduni mwingine wowote.

Mwanamke wa Kiafrika anaongea vipi na wa Kimagharibi anaongea vipi?..
Mwanamke wa kiafrika anaongea kwa staha na adabu kama ambavyo tamaduni za kiafrika zinamtaka mwanamke awe, huwezi kumkuta mwanamke wa kiafrika anatumia maneno kama " what the f**k is this?, who the hell is u" and all that, wanawake wa kimagharibi hawana staha katika mazungumzo yao

Na mwondoko jee? :
Mwanamke wa kiafrika anatembea kwa madaha na maringo, wanawake wa kizungu wanatembea haraka haraka sana as if wanawahi kitu fulani, mwanamke wa kiafrika akitembea namna hii anachukiza sana.

Unataka kutuambia wewe unatembea na kaniki au rubega barabarani au wewe kuvaa mavazi ya kimagharibi ni ruhsa ila akifanya mwanamke ni mwao?
..Mwanamke wa kiafrika hawezi kuuliza swali kama hili kwa sababu limekaa ki brainwashed kupita maelezo.

Umewafanyia utafiti wanawake wangapi ukajua kuwa hawalipi bills? .....Tusibishane katika hili kwa sababu tutakuwa tunapoteza muda tu

Kuna wanaume wanatunzwa na wanawake kabisa itakuwa kulipa bill?
: Hii mara nyingi hutokea kwenye movie za akina Kanumba na kama kweli inatokea basi lazima kuna mwanaume anaye umia hapo kwa sababu mwanamke wa kibongo hawezi kumuhonga mwanaume pesa bila ya yeye kwanza kuhongwa.

Ndugu yangu likud, kumbuka hata Shetani hushangaa watu wanapofanya mabaya kumzidi, nakuhakikishia hata wazungu wanakushangaa, kuwatusi dada zetu, mama zetu, nyanya zetu, baba zetu, ukijumlisha mama aliyekuzaa kuwa nae feki, baba aliyekuzaa ni feki, kwani mtoto wa nyoka ni nyoka hawezi kuwa asmaki, ati anakaa baharini,
Pole sn na ulimbukeni ndugu yangu kwa kuona mwezi basi, nakuhakikishia watu wazima na heshima zao wanasoma uzi huu, nakukuona ulivyojifekisha mbele ya mzungu, hauna tofauti na kisiwa cha mayoti walikataa kuwa huru wanataka watawaliwe na ufaransa, unathubu kulaani kwanini ulizaliwa ufekini karibu na uswekeni, nakupa pole sn dogo janja, ukidhani kuwa hutabadilika sura na kuwa nyani mweusi, pale wanao watakapo kutusi na kukufananisha na nyani mweusi, naamini siku moja utakumbuka maneno yangu, kuwa umeingilia mlango wakutokea, huoni exit ukaanza kulaani kwanini mlango haufunguki.
Nakumbia tena omba radhiiiii, wacha kushikilia misimamo ya Kumbi na Kumbinga, wasomi tupo wengi lkn tunajiheshimu, tumeoa wasio soma kuliko sisi na tunapeta sn tunaheshiwa kama wafalme wadogo ktk familia zetu? unaporudi unasema naamu niko hom.
Unadanganywa na karangi, subiri mkunyanzi utakimbilia akina Lara 1 baby face za daima, pole sana,
nakuomba utubu kwa kusema ujinga mbele ya wasomi kama au zaidi yako ww.
 
idont think so kama hiyo ni big excuse,cos mbona wadada wa kiafrica wapo tele ambao wametulia na wako original kabisa , sema ulikua unapenda tu kutafuta mzungu tht it ,, na nadhan unatafuta high class ladies ambao wanapenda vya kunyonga boss wangu,,
 
Possible reasons you may have married a mzungu:

Fear:
1.1. You fear having the same African woman who is strong and challenges you intellectually. You would rather be challenged by a white and you consider OK, the opposite you consider "WHITEISM" which signifies inferiority complex
2. Irresponsibility: You don’t want to incur any expense and offer weak arguments that wazungu don’t ask for any. Even in Africanism , men are considered the sole providers thus you are also acting like anti –Africanist. You fear being a man and want to be supported .
3. Make Up Misconseptions: Research says that more whites use make ups than any other population. You may be just lazy to seek for information but you can refer to some citations,
“In 2009 over half a million women in the UK were in a car accident when applying make-up”
The scariest beauty tutorial: Artist creates shocking video to warn women about the dangers of applying make-up when driving | Mail Online

I have seen quite a number of African ladies who don’t wear make-up, again you could be lazy to seek them or rather approach them and instead prefer white ladies who are mostly desperate for men due to age and stress.

And talking of make up: what defines a make up? Is powder make up? Because even masai have some powder material . Is cream a make up? Cause we have african made creams? Are hair extensions make up? Cause even masai wear hair extensions
4. Looking at your arguments I them FAKE ideas unless you prove them otherwise.
You fear having the same african woman who is strong and challenges you intelectually. You would rather be challenged by a white and you consider OK, the opposite you consider "WHITEISM" which signifies inferiority complex
 
huna jipya kwani wazungu hawavai mawingi?makaratasi tu yamekusababisha uoe mtasha
 
seee! Unapenda vya bure tu wewe huna lolote? Eti wazungu hawavai wig nani alisema wig zimetaiengenezwa kwa ajili ya waafrica? Sisi tumeiga tu toka kwaowanavaa sana tu kama hujui na kuweka hair additions tuulize kina sisi wasusi kuna watu feki kama wazungu

mbona unatoka nje ya topic lakini jamaa kaongea ukweli ndio maana povu linawatoka.
 
" Wewe hutaki mwanamke wa Kiafrika, unataka Mtumwa wa mawazo atakaekutukuza na kukubali kila usemalo, asiyeweza kuhoji ukisemacho".......Yeah kwa sababu kwangu mimi mwafrika halisi mke wangu ni kama mtoto wangu, tuna msemo wetu wasema " Wanawake sio kama watoto, ila wanawake ni watoto kabisa, wanatakiwa kuvalishwa, kulishwa, kufundishwa, kufurahishwa n.k, sio tu kuzalishwa na kuachwa peke yao wakihangaika " so unacho kisema kina ukweli ndani yako.

Mwanazuoni anaepingana na dhana inayouthibitisha uanazuoni wake ambae amefikia uanazuoni huo batili kwa kanuni zake makhsusi za uandishi.... Tetea hoja yako, isoni uhusiano na nilicho kielezea hapo.
 
hahahaahahah madame leo umemwamulia huyu jmaa kweli kweli hahahhahahah

Aghhhrrrrr........ Me ananitibua huyo LIKUD eti kuoa mzungu tu, anakuja kuchafua Lunch zetu humu jamvini,
Je angeoa mtoto wa Bilionea Je?
Huyu ndo wale Mivulana inayokimbiliaga kufanya kazi kwa Wazungu.,
Na usikute yeye ndo kaolewa.
Kuja kutibua Akili zetu tu,
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....................!!!!!!!!!!!1
 
Last edited by a moderator:
mbona unatoka nje ya topic lakini jamaa kaongea ukweli ndio maana povu linawatoka.

KAONGEA HOJA GANI SASA,AU NAWEWE NI MIONGONI MWA WALE MAHAUSIBOY WA WAZUNGU MLIOGEUKA VIMADA WAO WA KIUME,HUKU MKIPIKA,KUFUA NA KUWAKUNIA NAZI??
:madgrin:
 
Mimi ni mwana "uma-jumuhi " wa kiafrika, ninaipenda Afrika, na ninautukuza sana uafrika wangu. Hata hivyo ninasikitika kuwataarifu wananzuoni wenzangu wa kiafrika, kwamba nimeoa mwanamke wa kizungu na sitakaa nioe mwanamke wa kiafrika ( hususani hawa wanao toka katika ukanda huu wa kusini mwa jangwa la sahara/ the saharans )...Kwa nini ? Fuatana nami:

1. Wanawake wa kiafrika hawapatikani tena C Ngoja niiweke kwa kiingereza ili upate kunielewa zaidi )

" African women are no longer existing ". Wanasichana wote wa kiafrika ( hsusuani wale ambao wamekwenda shule ) ni kama wazungu kama sio wazungu kabisa..Tazama nguo wanazo vaa, jinsi wanavyo ongea, namna wanavyo tembea, vyakula wanavyokula, mitindo yao ya nguo, nywele n.k. fikra zao, mawazo yao nakadhalika, vyote kwa pamoja ni akisi ya yale yanayo fanywa na wanawake wa nchi za kimagharibi..Hivyo basi mimi kuoa mwanamke wa kiafrika, haitakuwa na mantiki wala maana yoyote kama mwanamke mwenyewe atakuwa na hulka za kizungu ).

2. Kwa kiwango changu cha elimu, nisingeweza kuoa mwanamke ambaye kiwango chake cha elimu ni chini ya elimu ya chuo kikuu, na tulivyoona hapo juu kwamba wanawake wengi wa kiafrika waliosoma wanajifanya wazungu kabisa, so hoja hii inaunga mkono hoja yangu ya kwanza.


3. NINA PENDA VITU ORIGINAL NA SIO FAKE : Kama ningeoa mwanamke wa kiafrika, ningekuwa nimeoa mwanamke wa kizungu ambaye ni " feki " lakini kwa sababu ninapenda kuwa na vitu original nimeoa mwanamke wa kizungu kabisa ili ijulikane moja kwamba nimeoa mwanamke wa kizungu.


4. Nimepunguza gharama za kulipia MAWIGI. Mke wangu ni mzungu, kwa hiyo haitaji kuvaa mawigi ya kazi gani sasa...

Hizi ni sababu chache tu, but zipo faida nyingi sana kwa kijana wa kitanzania ama wa kiafrika kuoa mwanamke wa kizungu...Utazisoma katika kitabu changu ambacho nitakitoa mwezi Aprili 2013..Katika kitabu hiki nimeelezea experience yangu pamoja na more 20 friends wa kitanzania ambao wameoa wazungu.

Hapa tunadanganyana sana kama watoto vile! mi naamini kama unaupenda uafrika wako (rangi yako, tamaduni yako nk) na wanawake wa kiafrika lazima utaoa tu kwani tunawasichana wazuri sana wakiafrika hata wwenye elimu za juu kabisa wenye kuutukuza uafrika wao.

Vile vile huwezi ukahalalisha kosa wanalolifanya dada zetu hata baadhi yetu kuwa ni sababu ya wewe kuoa mzungu, huu utakuwa ni udogo wa mawazo we sema tu ulimpenda mzungu, na hilo halitakuwa na maswali!

Na sijakuelewa unataka kuandika kitabu au unafanya research ya kwa nini baadhi ya wanaume wa kiafrika wanaoa wazungu? Kama ni kitabu, basi jaribu sana kusoma literature za African Feminism!
 
aghhhrrrrr........ Me ananitibua huyo likud eti kuoa mzungu tu, anakuja kuchafua lunch zetu humu jamvini,
je angeoa mtoto wa bilionea je?
Huyu ndo wale mivulana inayokimbiliaga kufanya kazi kwa wazungu.,
na usikute yeye ndo kaolewa.
Kuja kutibua akili zetu tu,
mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu....................!!!!!!!!!!!1

aje hapa kudanganya ikhuani,eti anammiliki fulani,eti anammiliki fulanii,,hata mwanaume gwinji ajiremberembe,sasa amtake nani??hata wazungu hao saiz wanataka pochii,,yeye gwinji ajigambe ana nini??
 
Ndugu yangu likud, kumbuka hata Shetani hushangaa watu wanapofanya mabaya kumzidi, nakuhakikishia hata wazungu wanakushangaa, kuwatusi dada zetu, mama zetu, nyanya zetu, baba zetu, ukijumlisha mama aliyekuzaa kuwa nae feki, baba aliyekuzaa ni feki, kwani mtoto wa nyoka ni nyoka hawezi kuwa asmaki, ati anakaa baharini,
Pole sn na ulimbukeni ndugu yangu kwa kuona mwezi basi, nakuhakikishia watu wazima na heshima zao wanasoma uzi huu, nakukuona ulivyojifekisha mbele ya mzungu, hauna tofauti na kisiwa cha mayoti walikataa kuwa huru wanataka watawaliwe na ufaransa, unathubu kulaani kwanini ulizaliwa ufekini karibu na uswekeni, nakupa pole sn dogo janja, ukidhani kuwa hutabadilika sura na kuwa nyani mweusi, pale wanao watakapo kutusi na kukufananisha na nyani mweusi, naamini siku moja utakumbuka maneno yangu, kuwa umeingilia mlango wakutokea, huoni exit ukaanza kulaani kwanini mlango haufunguki.
Nakumbia tena omba radhiiiii, wacha kushikilia misimamo ya Kumbi na Kumbinga, wasomi tupo wengi lkn tunajiheshimu, tumeoa wasio soma kuliko sisi na tunapeta sn tunaheshiwa kama wafalme wadogo ktk familia zetu? unaporudi unasema naamu niko hom.
Unadanganywa na karangi, subiri mkunyanzi utakimbilia akina Lara 1 baby face za daima, pole sana,
nakuomba utubu kwa kusema ujinga mbele ya wasomi kama au zaidi yako ww.


Facebook-Like-Button-big.jpg
 
Back
Top Bottom