Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

lukuD ,nilijenga hoja yangu kwenye kauli yako uliposema huwezi kuoa mwanamke mwenye elimu chini ya chuo kikuu
"
Hapo ndipo ulipodhihirisha tatito ambalo mimi nimeliona
"
Huwezi kuwa mwana umajumuhh halaeu unakuwa mbaguzi.Ulipowabagua wanawake wengine umedhihirisha matatizo kwenye hoja yako
"
Bibi yako hakuwa na elimu ya chuo kikuu na alikua mke bora,why unataka kuoa mwanamke wa chuo,unatafuta nini huko kwa wa chuo?
"
Uafrika unafundishwa chuo?
"
Kitu kingine kinachokataa uafrika wako ni pale uliposema "wacha nikuambie kiingereza ili unielewe vyema",nani amekuambia ukisema kiswahili hueleweki?
"
Haya ni mawazo ya kitumwa!
 
Last edited by a moderator:
graf.jpg

Mrs Likud Mwenye sifa zote. Bill analipa. Nywele original haweki wigi, hata wanja hapaki, Perfect woman. Makofi na vigeregere jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
aje hapa kudanganya ikhuani,eti anammiliki fulani,eti anammiliki fulanii,,hata mwanaume gwinji ajiremberembe,sasa amtake nani??hata wazungu hao saiz wanataka pochii,,yeye gwinji ajigambe ana nini??

Hana Lolote,
Hawa Ndo wale Kutwa kukesha kwenye Mabaa kusubiri ofa za Wazungu.
Na Bado, Atakuna Nazi sana mwaka huu, Si Ameyataka mwenyewe.
Msalka mkubwa,
Atutolee Ushamba Boy wake hapa.

Kutwa kufuga Rasta kumbe ana lake jambo.
 
graf.jpg

Mrs Likud Mwenye sifa zote. Bill analipa. Nywele original haweki wigi, hata wanja hapaki, Perfect woman. Makofi na vigeregere jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

MUKE YA LIKUD Oyeeeeeeeeeeeee.............................
Sura kama Anatafuta Bao.
 
Last edited by a moderator:
" Ila waulize walionionja na walioniona, Ndo watakwambia kila kitu" Huu ndio u fake ninao uzungumzia hapa, nimelelewa katika familia inayo thamini na kutukuza maadili ya kiafrika, mila zinazo mthamini sana mwanamke wa kiafrika, ninapata shida sana ninapokutana na wanawake wa kiafrika ambao wanaweza kuzungumza mambo machafu kama haya, inaonyesha ni jinsi gani usivyo itambua thamani yako na nafasi yako kama mwanamke.
 
Kiongozi LIKUD Unaweza kuwa umesoma saana!na usielemike!! Wewe ni mmoja wao! Unadai uafrica unaupenda sana!! Dada zetu wengi ni 'feki',unapenda vitu orijinal!!, ukijuchunguza vizuri kaka wewe ndie FEKI..True.
 
Last edited by a moderator:
" Ila waulize walionionja na walioniona, Ndo watakwambia kila kitu" Huu ndio u fake ninao uzungumzia hapa, nimelelewa katika familia inayo thamini na kutukuza maadili ya kiafrika, mila zinazo mthamini sana mwanamke wa kiafrika, ninapata shida sana ninapokutana na wanawake wa kiafrika ambao wanaweza kuzungumza mambo machafu kama haya, inaonyesha ni jinsi gani usivyo itambua thamani yako na nafasi yako kama mwanamke.

HEBU ni Quote Bhana, me sikupati, Au unatumia Mchina?
Mzungu wako hajakununulia Computer?
Nimeoaaaa, Kafie mbele ya safari huko.
 
Mkuu Likud ngoja nikujuze kidogo...ukitaka kukutana na wanazuoni wenzako waliobobea katika uzungunizesheni basi ingia kwenye wavuti ya 'mwanazuoni' MANGE KIMAMBI huko utapata michango sahihi.

wakatabahu,

Shadow.
 
Naheshimu mawazo ya kila mtu. Pamoja na kuheshimu mawazo yako, pia naona nitoe maoni:- Katika ndoa yako hiyo, tegemea yafuatayo:-
1. Tofauti kubwa ya mila na desturi zenu, zitawafanya mtumie muda mrefu wa kuvutana, katika jitihada za kuunda mila na desturi za nyumba yenu. Katika hili, tegemea kushuka na kuacha baadhi ya mila zako, ambazo pengine nyingine ungeziona zinafaa.
2. Tegemea kupoteza marafiki zako wengi, hasa wale ambao huyo mke wako umpendaye sana atakuwa hawataki.
3. Tegemea kuwa chini ya amri za mwanamke:- kila anachopenda wewe uwe mzee ndiyooooo

Hayo ni mawazo yangu binafsi na siyo msimamo wako
 
Ukute huyo mzungu alooa anashape kama yai, haijulikani kiuno kiko wapi na tumbo limeishia wapi, hao wako bwerereee. Wazungu wazuri kwa maumbo na sura ni kazi kuwapata hasa kwa mmatumbi na ni ghali sana kuliko hao waafrica fake unaojishaua ati kuwakimbia.

Labda uwadanganye wale ambao hawajawahi kuishi ulaya na marekani. Sikatai kumpata mzungu mzuri Wa umbo na sura kwa wewe ngozi nyeusi tena toka Africa inawezekana but gharama yake ni kubwa kumtunza kuliko mwafrica fake.
 
Bao original la kizungu, ndio analotaka MWANAZUONI!

weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Wer.............weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
WAPI MUME YA MUZUNGUUUUUUUUUU, WAPIIIIIIIIIIIII LIKUD, nakati ya Texas.
Jamani Members Bye Bye...... Naenda kupanda ndege (Ushamba kweli mzigo)
Nisingekuwa Shamba Boy, ningepanda Ndege saa Ngapi...........
 
Last edited by a moderator:
unachanganya madawa kabisa you might have a point lakini hujielewi kabisa.
Maadili hayahusiani na uafrika au uzungu kwani hata wazungu wenyewe wapo waliostaarabika na wenye maadili mema kwa misingi yao hivyo hivyo kwa waafrika.
Mimi nitaomba uniambie kitu, je Uafrika ni nini?
Uzungu nao ni nini?
Nakushangaa unaposema hakuna wanawake wa kiafrika yaani hadhira ya wanawake wa mjini tu ndio inawakilisha wanawake wote?
 
Back
Top Bottom