Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
HEHEHEHEHE!Hapo mpwa umeua, sasa wenzao wajasiriamali huwa wanakupa kidogo ila wanaomba nyingi, kwa mfano unaweza kushangaa from nowhere unaongezewa buku tano kwenye simu lakini baada ya siku mbili unapigwa mzinga wa vocha buku thelathini. Au unamsindikiza shopping anakununulia wallet 25k hala mkiingia duka jingine anataka kipochi cha 65k.
zic iz SAIKOLOGICAL ATTACK!