Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,034
gonga senksi basi dada!ila mimi sio kigari cha helahahahahahah lol nssf acha vituko geoffimekaa sawa hii:d
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gonga senksi basi dada!ila mimi sio kigari cha helahahahahahah lol nssf acha vituko geoffimekaa sawa hii:d
Acha hizo. mshahara laki 6!!!
hapa mjini utaishije?
house rent..... 350,000
food ..... 180,000
fuel 200,000
Michango... 100.000
dstv 101,000
mubia 190,000
nguo ?
wazee kijijini ?
Karibu sana jamvini mama.
Umesahau hapo kitu mm nilikuwa natoa kulitachi nywele 70,000/= kwa wiki
Karibu sana jamvini mama.
Umesahau hapo kitu mm nilikuwa natoa kulitachi nywele 70,000/= kwa wiki
Hahahahhaha umenikumbushia hii ya 70k bwana we!
Mpwa kaa pembeni. Hiyo 70 yako ni uchafu hapa. Wenzio wanagawa ATM card watu wanajichotea mahela. Stuka mpwa.
Nyie mbona mnamchokoza mtoto wa watu kwa nini ?? Hebu mwacheni kwanza anaonekana bado binti mdogo hayo makombora teteteh mnamuonea
huyu mchuchu ni soo!hivi MUBIA NDO NIN?
MTU MZIMA HUYU!angalia matumizi yake!?!!!Nani alikudanganya binti mdogo anadroo laki 6 kwenye akaunti ya mwanaume? Stuka mama!
fidel inaonyesha 70k ya kuritachi inakuuma vibaya sana! haaha alikuweza kweli kweli!
BWASHEE UMEKULA SENKSI kwa kunifahamisha hili!sasa huyu jaribu kumvuta chemba umpe kadi ya mwalikoTumkaribishe chawote anaweza kuklia bill zetu. Mubia = bia. Mutu ya kongo, mutu ya pesa mingi! Mwanachama huyu!
BWASHEE UMEKULA SENKSI kwa kunifahamisha hili!sasa huyu jaribu kumvuta chemba umpe kadi ya mwaliko
mimi MBADO!Duh yaani Geoff amefikia hatua hii ya kutoa aitim kadi? au mpwa Nguli?
Ngoja niangalie kama nimetoka na ATM card yangu. Lol! Hahaha!
I think Vivian can see the bolded sentence. I wonder kama alishawahi kumnunulia bf wake hata big G.
Hapo mpwa umeua, sasa wenzao wajasiriamali huwa wanakupa kidogo ila wanaomba nyingi, kwa mfano unaweza kushangaa from nowhere unaongezewa buku tano kwenye simu lakini baada ya siku mbili unapigwa mzinga wa vocha buku thelathini. Au unamsindikiza shopping anakununulia wallet 25k hala mkiingia duka jingine anataka kipochi cha 65k.