Kwa nini couple hizi ni adimu?

Jamani natafuta mchumba, a good girl who is ready to be with me! Am 0762972021 she must be 18 to 23
 
Jamani natafuta mchumba, a good girl who is ready to be with me! Am 0762972021 she must be 18 to 23 yrs old
 
Habari zenu waheshimiwa!
Mimi natafuta girlfriends of any age am 0762972021 you are welcome
 
Jamani mbona mmemchunia bhoke jamani... hahahaha! Wadada hawana ushirikiano humu. Ilana wewe bhoke approach yako DUH! Ntamshangaa zaid atakaye respond positively!
 
Hello guys!
How are you doing!
Iam new here! Please welcome me!
Goodmorning to you all!
 
Aisee ni kweli kwamba couple hizo zimekuwa adimu na hata kama zipo basi ni chache sana na sababu kubwa ni cultural differences(utofauti wa tamaduni)mfano dini, plus mitizamo potofu juu ya kundi jingine na wale ambao wameoana ni mfano mhindi ambaye kishahamia africa na kupoteza baadhi ya aspect za hihindi ana kupenda baadhi ya culture za kibongo ni rahisi kuwa na mswahili ok.
 
mjapan na mswahili je?

Yupo. Kuna mama mmoja Mjapani (simtaji jina kwa sababu nitakuwa naingilia privacy yake) anaishi Dodoma. Huyu kaolewa na Mswahili na wanaishi wote Dodoma hadi leo. Kaingia Tanzania early 1980s
 
Yupo. Kuna mama mmoja Mjapani (simtaji jina kwa sababu nitakuwa naingilia privacy yake) anaishi Dodoma. Huyu kaolewa na Mswahili na wanaishi wote Dodoma hadi leo. Kaingia Tanzania early 1980s

Nimekubali.
 
Nimekubali.

Påmoja sana mkuu.
Mfani mwingine wa dhahiri ni mmojawapo wa akina dada wa kundi la muziki la Unique Sisters, (watoto wa mkuu wa wilaya ndg Ahmed Kipozi). Huyu mdada simkumbuki jina, lakini kaolewa na Mjapani na wanaishi Japan
 
Mhindi na Mswahili
Msomali na Mswahili
Mhindi na Msomali
Mzungu na Mwarabu

Huwa najiuliza sana...?!

bold and underlined sijaoa mmoja wao... lakini wote nimeshatembea nao kipindi cha box.. muhindi almanusura nimuoe sema swala la usafi wake binafsi na mazingira duh. nilinyanyua mikono
 
bold and underlined sijaoa mmoja wao... lakini wote nimeshatembea nao kipindi cha box.. muhindi almanusura nimuoe sema swala la usafi wake binafsi na mazingira duh. nilinyanyua mikono

We mkali kweli mjomba.
 
Back
Top Bottom