Kwa nini couple hizi ni adimu?

Hayo mengine yote mbwembwe watu tunataka huduma iliyo bora tu,ingekuwa hiyo huduma bora inatolewa na jamii ya watu fulani mfano waraabu basi ndio wangegombaniwa baraa,ila siku hizi hayo ya lazima wahindi waowane wao kwa wao hazipo.Source:kitaani kwetu wanaoa hadi albino.
 
PAIR ADIMU
Mhindi na Mswahili
Msomali na Mswahili
Mhindi na Msomali
Mzungu na Mwarabu

PAIR KAWAIDA
Mswahili na Mswahili
Mzungu na Mswahili
Msomali na Mwarabu
Mwarabu na Mswahili

Huwa najiuliza sana...?!

Hapana mimi nilikuwa in relationship na Msomali for 2years.
Nami ni Mswahili.

Lakini ni Mawazo yako.
 
jamani wee unaishi tandale, mzungu na mhindi utawaona saa ngapi wanawowana???

Wahindi wana kawaida ya kuoana ndugu sasa aache binamu yake aje aoe mswahili saa ngapi?

Soln ikiwa conc ndo rate ya reaction inakuwa kubwa.
 
chunguza hapo kwenye PAIR ADIMU utagundua kuna waislamu ndio chanzo cha uadimu wa pair hizo kwa kuwa hawa jamaa mafunzo yao ni kutuchukia wakristo.HENCE PROVED
 
chunguza hapo kwenye PAIR
ADIMU utagundua kuna waislamu ndio chanzo cha uadimu wa pair hizo kwa
kuwa hawa jamaa mafunzo yao ni kutuchukia wakristo.HENCE PROVED

Udini umekutawala eeh!
 
Back
Top Bottom