Kwa nini couple hizi ni adimu?

Mi Mswahili, niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na Binti wa Kihindi. Labda kama mnaongelea ndoa.
 
Mila na desturi haziendani na kuzivunja ni kazi....mswahili na spicy foods wapi na wapi...au zile udi zao wanajipaka kwa mchaga ni noma
 
PAIR ADIMU
Mhindi na Mswahili
Msomali na Mswahili
Mhindi na Msomali
Mzungu na Mwarabu

PAIR KAWAIDA
Mswahili na Mswahili
Mzungu na Mswahili
Msomali na Mwarabu
Mwarabu na Mswahili

1.Huwa najiuliza sana...?!
red wanatuma sana na kunyanyasa sana na wanapenda kuishi kibao in one house ivo sisi waswahili hatujazoea
2.black koz wao ni alshaabib ivo tunawaogopa (majangili,makatili)
3.blue hawawezani hata kidogo yani
4.purple vita na visa vyao ndio hata princess diana kifo chake ....wanachukiana sana kiasi kwamba hata mtoto wa kiarabu akimpe mimba mtoto wa kizungu bora wafanye juu chini afe nayo iyo mimba kuliko iyo mixture kuja kwa dunia
 
Mkuu umejitahidi kuchambua kidogo.
 
mkuu kweli hao wapo,ila wachache sana,inawezkana mia kwa mmoja!na imeanza karbuni hasa kwa wahindi vs waswahili
Ukizingatia siku hizi passport ya Tanzania hainunuliki kama njugu kama ilivyokuwa zamani, wataoana sana na waswahili wapate vibali vya kuishi TZ.
 
PAIR ADIMU
Mhindi na Mswahili
Msomali na Mswahili
Mhindi na Msomali
Mzungu na Mwarabu

PAIR KAWAIDA
Mswahili na Mswahili
Mzungu na Mswahili
Msomali na Mwarabu
Mwarabu na Mswahili

Huwa najiuliza sana...?!

Hapo kwenye red zipo tena hasahasa Iringa town mitaa ya Kitanzini pia rafiki yangu mama yake mkinga na baba msomali.
Ila hapo kwenye blue hata mi ni mmoja wapo.
 
PAIR ADIMU
Mhindi na Mswahili
Msomali na Mswahili
Mhindi na Msomali
Mzungu na Mwarabu

PAIR KAWAIDA
Mswahili na Mswahili
Mzungu na Mswahili
Msomali na Mwarabu
Mwarabu na Mswahili

Huwa najiuliza sana...?!

Naam kwa Bongo ni hivyo lakini sehemu nyengine ni mambo ya kawaida. Hebu njoo huku Zenji utaweza kupata baadhi ya couples ulizozitaja. Hawa Waswahili na Wasomali couples ni juzi tu waliwasili Pemba.
 
Back
Top Bottom