Ukipata kazi kwa Mhindi, Mwarabu au Mswahili usitangazie watu kuwa una ajira

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,422
3,393
Ukipata kazi kwa Mhindi, Mwarabu, Mswahili usitangazie watu kuwa uko na ajira, waambie unazugazuga tu maana hakuna bosi hapo na ajira yenyewe inakuwa ka haina uhakika, kuna dada nihouse girl kwa mzungu anakunja 600000.

Wazungu mungu kawagea roho ya huruma sana, hasa inapokuja haki ya mtu mmoja mmoja.
 
Hao wahindi walidai uhuru kwa muingereza miaka na miaka mpaka wakachoka, jamaa wakawa wana wang'ang'ania tu. Wahindi wakaona isiwe kesi uhuru wetu mtatupa tu iwe mvua iwe jua, wakapenyezeana mbinu moja hatari sana itakayo wakimbiza wazungu kwa muda mfupi.
Naskia jamaa (wahindi) si ndio wakaanza kunya hovyo hovyo mitaani yaani India pakawa hapakaliki kila kona, waingereza mbona walisalimu amri.
 
Ukipata kazi kwa muhindi,mwarabu,mswahili usitangazie watu kuwa uko na ajira,waambie unazugazuga tu,maana hakuna bosi hapo na ajira yenyewe inakuwa ka haina uhakika,kuna dada nihouse girl kwa mzungu anakunja 600000,,wazungu mungu kawagea roho ya huruma sana,hasa inapokuja haki ya mtu mmoja mmoja,
....sio kwa muhindi tu, we kaa kimya tu ukiajiriwa popote pale no guarantee, usiku wa kuamkia leo kuna dc kaliwa kichwa Ohooo!!!.....
 
Daa hata serikalini kwa hawa wenye vima vya kuanzia ni taabu tupu,mtu unatakiwa utokee kila siku ukiwa nadhifu,bado nauli na unakuta mtu kafanya kazi miaka 8+ bado habakiz 500,000/-.Huwa najiuliza sana hivi serikali inajua kuwa kila mtu anatakiwa aishi s chini ya 10,000/- per day!
Bado alipe bills,bado anunue mavaz n.k,sasa akilipwa 500k atasave nini!
 
Ukipata kazi kwa muhindi,mwarabu,mswahili usitangazie watu kuwa uko na ajira,waambie unazugazuga tu,maana hakuna bosi hapo na ajira yenyewe inakuwa ka haina uhakika,kuna dada nihouse girl kwa mzungu anakunja 600000,,wazungu mungu kawagea roho ya huruma sana,hasa inapokuja haki ya mtu mmoja mmoja,
Mzungu ni first class ya viumbe vyoteee bishaaaaaaaaaaa
 
Hao wahindi walidai uhuru kwa muingereza miaka na miaka mpaka wakachoka, jamaa wakawa wana wang'ang'ania tu. Wahindi wakaona isiwe kesi uhuru wetu mtatupa tu iwe mvua iwe jua, wakapenyezeana mbinu moja hatari sana itakayo wakimbiza wazungu kwa muda mfupi.
Naskia jamaa (wahindi) si ndio wakaanza kunya hovyo hovyo mitaani yaani India pakawa hapakaliki kila kona, waingereza mbona walisalimu amri.
Hadi leo ukishuka airport ya New Dehli utasikia harufu ya mavi labda wawe wamerekebisha
 
Hapo unaweza kuta na bima ya afya kakatiwa.

Usisahau kuna mchina pia nae sio mzuri sana
 
Back
Top Bottom