max as well
Senior Member
- Sep 10, 2023
- 113
- 252
Wakuu,kwa taarifa nilizozipata mlima Hanang' hua unautaratibu wa kufanyiwa matambiko,
Mlima ulianza kuunguruma tangu mwezi wa Tisa ,wazee wa mlima Hanang' wanajua ulikua unaashiria Nini
Mlima huo unapoanza kutoa ngurumo na kutikisika wazee hua wanajua unaashiria Nini
Kikawaida hua wanapanda mlimani wazee wa kibarabaigi huufanyia matambiko kwa kuchinja ng'ombe,pombe na hatimie mizimu husikia na kutulia
Kilichotokea Hanang' mlima ulianza kuunguruma Toka mwez wa 9 na kutikisika kidogo,kama kawaida ya Mila na desturi lazima tambiko lifanyike
Wazee wakajipanga wakati wanaenda mlimani wakakutana na watu wa misitu(maliasili) wakafukuzwa milimani
Wazee waliapa kitachotokea mwaka huu lazima nchi itikisike ,baada ya siku 3 likatokea la kutokea watu zaidi ya 80 wamekufa
Hakuna Cha mudflow,land slide,debris flow ,ni kukaidi Mila na desturi za eneo husika zisifanyike ,
Chonde chonde serikali,YA KAISARI MUWAACHIE YA KAISARI ,yakwenu fanyeni yenu,
Tumepoteza watu wengi kisa tunajifanya hatujui Mila na desturi za eneo husika
Kama unabisha waulize watu wa Hanang' asili ya mlima huo