sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Shida ya waafrika ni pale tulipooshwa akili kwamba mila zetu zote zimepitwa na wakati tufate za wazungu / waarabu, Mila zetu tumeanza kuzipiga vita wenyewe na madhara ndio haya.
Hili janga lipo miaka mingi lakini kuna wazee wa kimila walikuwa wanafanya matambiko Kulipooza, yanatokea mafuriko ya kawaida tu ambayo hayaleti madhara kwa jamii.
Ni kitu kilikuwepo tangu miaka ya mababu huko Na kuna muda ukifika ni lazima wazee wa kimila waende mlimani wakafanye mambo yao ili kulinda jamii, kwa sasa huko milimani kuna taasisi za kiserikali za misitu / wanyama wanawakataza wazee wasifanye mambo Yao mara wadai kibali
Sikuhizi serikal imeingilia mila za watu, wazee wakienda mlimani kufanya mambo yao wanaambiwa hamruhusiwi ,mara mnakibali ? wazee wakaondoka na matokeo yake ndio haya.
........................................................
USHAURI:
Taasisi na viongozi waheshimu mila za asili za kuzuia majanga kama haya, Sehemu kama Mbeya mambo ya kimila huwa yanafanywa wazi kabisa mlima wa Mbalizi na mlima wa Nyoka, ni maeneo ambayo kuna kipindi kikifika kunakuwa na ajali nyingi na suluhisho huwa ni kutambika ndio ajali zinaisha, wachunhaji na maustadh nao huwa wanapewa nafasi lakini hii hali huwa inajirudia.
Nimpongeze waziri mkuu Kassim Majaliwa aliwahi kuruhusu Wazee wa kimila wafanye Mila zao kwenye eneo lililokuwa lina matatizo, ni muislamu lakini anaheshimu mila za watu. Uongozi wake hauingizi dini yake kuleta mgongano wa imani.