Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
Nimeingia jamvini kwa kasi ya tsunami.
Pearl, Jeni, First Lady1, Rita, Azikiwe, Nguli na wooote mliopo hapa ndani naomba mnipokee
weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee huwezi kufikia kasi aliyoingia nayo akili kichwani!!!!!!!!!!!!!!!!!! 4 sure, uliza utajuzwa na wajuzi
any way karibu na anza mara moja kuchezea keyboard.................................... here we dare to talk openly.....