HelcopterChopa
Member
- Sep 13, 2023
- 35
- 46
nawasilimu nyote.
Nimejiunga nanyi kwa mambo mawili muhimu.
Kwanaza, kuchota elimu, ujuzi na marifa katika nyanja zote kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa.
Maana kwa muda mrefu nimekua nikichota marifa mengi ya humu ndani nikiwa nje kama mshabiki, nikaona sasa ni muda muafaka niwe member kabisa.
Pili, kuona namana ambavyo naweza pata mwenza mkristo, mkatoliki, mbatizwa, mwaminifu na mkweli mwenye kati ya umri wa miaka 25-35 maana mie nina zaidi ya miaka 40.
wasalam,
Naomba mnipokee