Kwa hili Mwigulu Nchemba anastahili pongezi

Kwa mara nyingi kumekuwepo kauli za kuwa CCM ijiandae kisaikolojia kuwa Chama cha Upinzani, katika hili Mwigulu ameonesha kwa vitendo kwa vile kila akijichangia katika vikao vya bajeti amekuwa akichukua maoni ya kambi rasmi ya Upinzani na kuanza kuipinga, kwangu mimi huko ni kujiandaa kisakolojia kuwa chama cha upinzani, kwani Mwaigulu anajua hili kuwa 2015 si mbali hivyo ameona aanze kuzoea kazi ya upinzani.

kwa hapa sidhani kama Mwigulu anapaswa kuchukiwa au kuonekana mbaya katika hili zuri analofanya, kwani si vibaya kama kujiandaa kisaikolojia kuwa chama Cha upinzani kama anavyofanya kwasababu CCM kwasasa ni Kama UKIMWI ambao hauna KINGA WALA TIBA itayofanya ishinde 2015.

Thanks... ngoja nikupe na ya kugonga... una akili sana wewe... umegusa penyewe haswa!!! hawa jamaa kila wakisimama ni kukosoa maoni ya upinzani juu ya budget mbovu yao... utafikiri ndo budget ya kutekelezwa!!!!!!!!!!
 
.....pamoja na madhaifu mengi ya mwigulu nchemba, anachonifurahisha ni kwamba, anatumia takwimu na vielelezo vyao wenyewe chadema kuwatoa kamasi!...anautumia vizuri sana udhaifu wa chadema na kuwashambulia!
 
Yaani mie huyu namuona kama Chizi sasa amezidi kuropoka
Kila akiongea natamani nimwambie kaa chini
 
Yan we acha tu,Jaman ningekuwa spika ningemkalisha huyo mchangiaj aliyepita!Nchemba boya tu anatumia vielelezo vp?Shule muhimu jaman!
 
endapo CCM inajiandaa kuwa wapinzani miaka 20 baada ya ujio wa vyama vingi, inamaanisha Kakijana ka miaka 20 kalitoa kamasi zee la miaka 50+,
 
Kwa mara nyingi kumekuwepo kauli za kuwa CCM ijiandae kisaikolojia kuwa Chama cha Upinzani, katika hili Mwigulu ameonesha kwa vitendo kwa vile kila akijichangia katika vikao vya bajeti amekuwa akichukua maoni ya kambi rasmi ya Upinzani na kuanza kuipinga, kwangu mimi huko ni kujiandaa kisakolojia kuwa chama cha upinzani, kwani Mwaigulu anajua hili kuwa 2015 si mbali hivyo ameona aanze kuzoea kazi ya upinzani.

kwa hapa sidhani kama Mwigulu anapaswa kuchukiwa au kuonekana mbaya katika hili zuri analofanya, kwani si vibaya kama kujiandaa kisaikolojia kuwa chama Cha upinzani kama anavyofanya kwasababu CCM kwasasa ni Kama UKIMWI ambao hauna KINGA WALA TIBA itayofanya ishinde 2015.

. Watanzania nawaonya ukiona wanapinga kutetea wafanyakazi maanake wanaunga mkono wafanyakazi kukandamizwa. Na yeyote atakayewatetea ni lazima wadeal naye perpendicularly, diagonally, horizontally, profundally and vertically. My take tuanze kufuatilia matamshi ya lameck mwigulu nchemba. Alitamka mwenyewe kuwa chadema wanawaunga mkono wanaotetea haki zao na hivyo wanachochea migomo. Hivi chemba ni kwanini ulizaliwa kizazi hiki??. Kizazi hiki mambo hadharani nina mashaka unajitenga na kujiunga na wazee ambao tayari wanasubiri kuomdoka hali wewe bado ni mtoto
MWIGULU HANA CHA KUPONGEZWA SI AMETANGAZA YEYE SIYO MTETEZI WA WANYONGE?
 
Back
Top Bottom