Kwa hili Mwigulu Nchemba anastahili pongezi

Huyu Nchemba anadhaliisha waliomchagua. Analinda masilahi yake tuu. Inaonyesha ni jinsi gani chama chake kisivyokuwa makini kwa kumpa madaraka makubwa kiasi hicho. Kwetu sisi tunaona ni jinsi gani anakimaliza chama kilcho tusomesha.
 
Huyu jamaa ni kiboko yaa CDM, nimeamini kumbe dawa ya moto siyo maji, ni moto tu. Jamaa hawalali kwa kumuota Nchemba tu. Ni kama wameshikwa na jinamizi fulani hivi. Loh!! huyu Nchemba angekuwa CDM CCM wangekuwa kwenye hali mbaya sana, maana sipati picha ya line up ingekuwaje kule CDM...Hapa Nchemba, pale Lissu, .....
 
Mpaka hapa inaonekana CCM haiwezi kubadilika, kama hawa vijana ambao ndo tuliwategemea walete mageuzi ndani ya CCM lakini ni utumbo mtupu
 
Kwa mara nyingi kumekuwepo kauli za kuwa CCM ijiandae kisaikolojia kuwa Chama cha Upinzani, katika hili Mwigulu ameonesha kwa vitendo kwa vile kila akijichangia katika vikao vya bajeti amekuwa akichukua maoni ya kambi rasmi ya Upinzani na kuanza kuipinga, kwangu mimi huko ni kujiandaa kisakolojia kuwa chama cha upinzani, kwani Mwaigulu anajua hili kuwa 2015 si mbali hivyo ameona aanze kuzoea kazi ya upinzani.

kwa hapa sidhani kama Mwigulu anapaswa kuchukiwa au kuonekana mbaya katika hili zuri analofanya, kwani si vibaya kama kujiandaa kisaikolojia kuwa chama Cha upinzani kama anavyofanya kwasababu CCM kwasasa ni Kama UKIMWI ambao hauna KINGA WALA TIBA itayofanya ishinde 2015.
Hv kwa akili yako unadhani hili linaweza tokea labda ukiwa umevuta ndumu na kunywa viroba ngumu na bado sana labda miaka mia mbili ijayo
 
Ivi kweli chadema mnakaa mkisubir kwamba ipo cku ccm watawakabidhi madaraka kabisa?polen sana coz hamyajui yaliyoko chini ya carpet.
 
Kwa mara nyingi kumekuwepo kauli za kuwa CCM ijiandae kisaikolojia kuwa Chama cha Upinzani, katika hili Mwigulu ameonesha kwa vitendo kwa vile kila akijichangia katika vikao vya bajeti amekuwa akichukua maoni ya kambi rasmi ya Upinzani na kuanza kuipinga, kwangu mimi huko ni kujiandaa kisakolojia kuwa chama cha upinzani, kwani Mwaigulu anajua hili kuwa 2015 si mbali hivyo ameona aanze kuzoea kazi ya upinzani.

kwa hapa sidhani kama Mwigulu anapaswa kuchukiwa au kuonekana mbaya katika hili zuri analofanya, kwani si vibaya kama kujiandaa kisaikolojia kuwa chama Cha upinzani kama anavyofanya kwasababu CCM kwasasa ni Kama UKIMWI ambao hauna KINGA WALA TIBA itayofanya ishinde 2015.

Stupid thinking! Unaruhusiwa kuota mchana kweupe.
 
Huyu jamaa ni kiboko yaa CDM, nimeamini kumbe dawa ya moto siyo maji, ni moto tu. Jamaa hawalali kwa kumuota Nchemba tu. Ni kama wameshikwa na jinamizi fulani hivi. Loh!! huyu Nchemba angekuwa CDM CCM wangekuwa kwenye hali mbaya sana, maana sipati picha ya line up ingekuwaje kule CDM...Hapa Nchemba, pale Lissu, .....

Eti chemba angekuwa CDM , CCM ingepata tabu nani atumie huyo chizi hastahili kuwa pale
 
Ivi kweli chadema mnakaa mkisubir kwamba ipo cku ccm watawakabidhi madaraka kabisa?polen sana coz hamyajui yaliyoko chini ya carpet.

haijilisi kama ni juu au chini ya kapeti kimsingi WATZ wanaimani na CDM na wanaichukia CCM na sisi ndio tutakaopiga kura na kulinda kura ikibidi na kutangaza matokeo
 
Hv mnanichekesha jaman,Ni jambo gani huyo Nchemba ameongea la maana?Tunashaka na elimu aliyonayo...Hajaelimika
 
Kwa mara nyingi kumekuwepo kauli za kuwa CCM ijiandae kisaikolojia kuwa Chama cha Upinzani, katika hili Mwigulu ameonesha kwa vitendo kwa vile kila akijichangia katika vikao vya bajeti amekuwa akichukua maoni ya kambi rasmi ya Upinzani na kuanza kuipinga, kwangu mimi huko ni kujiandaa kisakolojia kuwa chama cha upinzani, kwani Mwaigulu anajua hili kuwa 2015 si mbali hivyo ameona aanze kuzoea kazi ya upinzani.

kwa hapa sidhani kama Mwigulu anapaswa kuchukiwa au kuonekana mbaya katika hili zuri analofanya, kwani si vibaya kama kujiandaa kisaikolojia kuwa chama Cha upinzani kama anavyofanya kwasababu CCM kwasasa ni Kama UKIMWI ambao hauna KINGA WALA TIBA itayofanya ishinde 2015.

Kumchukia Nchemba is an over statement!! tunamsikiliza vapour zake then we ignore him with all the contempt he deserves! to hate him is a waste of adrenalin; watu kama Nchemba, Wassira, Mkuchika, Manyanya, Mlatta na wengi wengineo bila kuwepo CDM usingewasikia hata kidogo; watu kama hao they go through days and nights dreaming and worrying about the day CDM will take power and what their fate will be thence!! The writting is on the wall; wajiandae wasijiandae what will be will be; freedom is beckoning on the door step.
 
Ivi kweli chadema mnakaa mkisubir kwamba ipo cku ccm watawakabidhi madaraka kabisa?polen sana coz hamyajui yaliyoko chini ya carpet.
na wewe hujui kapeeti linatolewa na linawekwa lingine hata ingekuwa chini ya zege
 
Back
Top Bottom