Kwa heshima ya Jeshi letu JWTZ, Kamati Kuu CHADEMA ikutane kwa dharura kusitisha UKUTA Sept 1

Ni usaliti kweli ila kimantiki inaleta maana, kwa namana nyingine huo pia unaweza kua ni mtego kwetu, kati kuu ya chama chetu ikae ijadili na itoe tamko, naamini yote yanawezekana...
 
Ngojea ifike hiyo tarehe moja, tuwaone hao wanaojifanya wamekunywa maji ya bendera na Chama.
 
Matola. Heshima mbele. Tumetoka bali sana mkuu, wazo lako zuri, ila Rais angefungua tu mdomo akisema kwamba yote aliyokuwa akiyasema ni utani, basi mandamano yataishia hapo hapo
By the way, wale wafafanuzi wa kauli za rais bado hawajasema huo nao ulikuwa utani?
 
Back
Top Bottom