Kwa heshima ya Jeshi letu JWTZ, Kamati Kuu CHADEMA ikutane kwa dharura kusitisha UKUTA Sept 1

Mwenye nchi ameamua kutulia. Chezea Rais wa nchi ya kidemokrasia anazungumza na wachina kutengeneza standard gauge hana habari na UKUTA.
 
Hahahahaha Makamanda mtasemaje mnaliheshimu jeshi wakati mwenye jeshi hamtamki kumuheshimu?

Hahahaha Makamanda acheni uoga andamaneni bhana wao watakuwa wanafanya usafi tuu.. Hahahaha

Kamanda Lema alishasema uongo ni dhambi ..

Nendeni mkakutane na makamanda wenzenu kila mtu na shughuli zake Teh Teh...
 
Makamanda huu ni usaliti mkubwa... Wao watafagia sisi tunajenga ukuta tusiogope ..
 
Tumesikia JWTZ wataadhimisha siku hiyo kwa kufanya shughuli za kijamii

Huu mtego umekaa vibaya ,maana yake ni kwamba siku hiyo kama ukuta utafanyika kutakua na jamaa wa JWTZ uraiani ,

Kitendo tu cha hawa jamaa kuonekana uraini tayari ni tishio tosha kwa waandamanaji ,kama ni vita ya saikolojia hapa ukuta tumepigwa bao ,

Kusogeza mbele hakuna tatizo itakua vyema ili tuendelee kuona show za hawa jamaa zetu wa upande wa pili na gari zao za washawasha kwamba wako fiti kupambana na ukuta ,utafikiria wanapambana na wa Russia kumbe ni baba zao,kaka zao ,dada zao nk.
 
Kiukweli waliokuja na wazo la kuweka jeshi mtaani siku hiyo, wanaweza kusababisha ugomvi kati ya raia na jeshi lao, hii haijakaa vizuri.
 
Dooh

Hawa jamaa sio watu kabisa....nikikumbuka niliahatupaga chupa ya maji pale Lugalo nikiwa kwenye foleni.....

Ai nilifanya usafi toka saa mbili hadi saa 5 asbh...

Sitorudia tena....
 
Hahahahaha Makamanda mtasemaje mnaliheshimu jeshi wakati mwenye jeshi hamtamki kumuheshimu?

Hahahaha Makamanda acheni uoga andamaneni bhana wao watakuwa wanafanya usafi tuu.. Hahahaha

Kamanda Lema alishasema uongo ni dhambi ..

Nendeni mkakutane na makamanda wenzenu kila mtu na shughuli zake Teh Teh...
Unasema mwenye jeshi? Unasahau kuwa JWT ni jeshi la wananchi wa Tanzania?
 
Kwanza kabisa ieleweke malengo ya UKUTA yametimia ila mfalme hawezi kukubali ila ukweli ni kwamba tayari anayajutia makosa yake kimyakimya.
Una akili nyingi sana wewe na ndio maana umekuwa miongoni mwa watu wachache walioelewa na kushuhudia jiwe la mwisho likifunuliwa kwenye ule msemo wa 'no stone will be left unturned'!
 
Kwakuwa jesh limejitolea kufanya usafi nchi nzima. UKUTA ufanyike siku kabla ya tarehe 1 ili zile takataka za viroba, makopo ya maji, bia etc vitakavyokuwa vimezagaa nchi nzima visafishwe na JWTZ iyo siku ya tarehe 1.
 
Wanabodi mimi nikiwa kama mdau wa demokrasia natoa ushauri kwa CHADEMA ambao nauita ni ushauri wa lazima.

Kwanza kabisa ieleweke malengo ya UKUTA yametimia ila mfalme hawezi kukubali ila ukweli ni kwamba tayari anayajutia makosa yake kimyakimya.

Nikirudi kwenye mantiki ya uzi huu ni kwamba Jeshi letu pekee tunaloliheshimu na ambalo lipo upande wa wananchi siku zote ni JWTZ ambapo limetowa ratiba yake ya maazimisho siku ya tarehe 1 Septemba litakuwa kwenye majukumu ya kijamii mbalimbali.

Sasa mimi Matola kama sehemu ya jamii hiyo Sept 1 ningependa kujumuika na JWTZ na nisingependa kuona raia wanachanganywa na tukio la kitaifa zaidi ya moja, hivyo basi naishauri CC ya CHADEMA ikutane kwa dharura kufuta maandamano to show respect kwa Makamanda original.

Hii ina maana gani? CHADEMA mkisitisha maandamano mtakuwa mmeruka mitego miwili mliyowekewa, wa kwanza kikao na msajili ni tarehe 3 na nina uhakika kikao hicho kitapata muafaka wa mnachokipigania na la pili katika mazingira haya mkiandamana itakuwa ni dharau kwa Jeshi letu la JWTZ ambalo lipo kwenye maazimisho yake.

Binafsi tarehe 1 Septemba nitakuwa pamoja na Jeshi letu siko tayari kuwa sehemu ya maandamano hayo. Kama siku zote tumeipigania CHADEMA kwa nguvu zetu zote basi muwe tayari kupokea ushauri wa tija nia njema tunaotowa. Mkijifanya wakaidi mtabetray the whole trust from the public.

Mwenye masikio na asikie mpaka dakika hii CHADEMA imeshinda vita hii sasa huu mkia uliobaki msijiaribie. Just cease fire for the while, msajili atatoa tamko la kuruhusu mikutano nawahakikishia.
mmeanza kupata akili. hamna sababu ya maama kumtunishia misuli jpm. kaeni nyumbani mbowe lissu na lowassa ndio waende kuandamana.
 
Kweli kabisa... Ukuta usimame kwa muda ili tushuhudie movie la kihistoria....

Wanajeshi wakifanya usafi huku wakilindwa na mabunduki na mabomu ya machozi ya polisi.

Hahahahaha.... Tanzania raha sana...
Hapana tuandamane kwa namna tofauti. Tushirikiane na wajeda kufanya usafi ila tuvae Tshirts nyeupe zisizo na maandishi yoyote kuonesha amani
 
Kwa hiyo tuungane na makamanda kufanya usafi huku tukilindwa na mapolisi??

Hili nalo neno
 
Wanabodi mimi nikiwa kama mdau wa demokrasia natoa ushauri kwa CHADEMA ambao nauita ni ushauri wa lazima.

Kwanza kabisa ieleweke malengo ya UKUTA yametimia ila mfalme hawezi kukubali ila ukweli ni kwamba tayari anayajutia makosa yake kimyakimya.

Nikirudi kwenye mantiki ya uzi huu ni kwamba Jeshi letu pekee tunaloliheshimu na ambalo lipo upande wa wananchi siku zote ni JWTZ ambapo limetowa ratiba yake ya maazimisho siku ya tarehe 1 Septemba litakuwa kwenye majukumu ya kijamii mbalimbali.

Sasa mimi Matola kama sehemu ya jamii hiyo Sept 1 ningependa kujumuika na JWTZ na nisingependa kuona raia wanachanganywa na tukio la kitaifa zaidi ya moja, hivyo basi naishauri CC ya CHADEMA ikutane kwa dharura kufuta maandamano to show respect kwa Makamanda original.

Hii ina maana gani? CHADEMA mkisitisha maandamano mtakuwa mmeruka mitego miwili mliyowekewa, wa kwanza kikao na msajili ni tarehe 3 na nina uhakika kikao hicho kitapata muafaka wa mnachokipigania na la pili katika mazingira haya mkiandamana itakuwa ni dharau kwa Jeshi letu la JWTZ ambalo lipo kwenye maazimisho yake.

Binafsi tarehe 1 Septemba nitakuwa pamoja na Jeshi letu siko tayari kuwa sehemu ya maandamano hayo. Kama siku zote tumeipigania CHADEMA kwa nguvu zetu zote basi muwe tayari kupokea ushauri wa tija nia njema tunaotowa. Mkijifanya wakaidi mtabetray the whole trust from the public.

Mwenye masikio na asikie mpaka dakika hii CHADEMA imeshinda vita hii sasa huu mkia uliobaki msijiaribie. Just cease fire for the while, msajili atatoa tamko la kuruhusu mikutano nawahakikishia.
who r u kusema waache...wenye serikali yao hawana nia ya hayo mazungumzo?sio mazuri lakini naona ili kupiga hatua naona ni lazima yaendeleee maana demokrasia haiwasaidii hawa chadema
sina hakika kama nao wanataka mambo yafike huko
 
...
.....CHADEMA chama Makini siku zote
Umakini wake ni upi? Mbona hamkujua kuwa 1,9 ni siku ya majeshi! Mmetoroka bungeni wenyewe, Sasa mmetengeza movie ya viongozi wa dini ili mrudi bungeni, Umakini uko wapi? Au kumuuzia Lowasa chama?
 
Wanabodi mimi nikiwa kama mdau wa demokrasia natoa ushauri kwa CHADEMA ambao nauita ni ushauri wa lazima.

Kwanza kabisa ieleweke malengo ya UKUTA yametimia ila mfalme hawezi kukubali ila ukweli ni kwamba tayari anayajutia makosa yake kimyakimya.

Nikirudi kwenye mantiki ya uzi huu ni kwamba Jeshi letu pekee tunaloliheshimu na ambalo lipo upande wa wananchi siku zote ni JWTZ ambapo limetowa ratiba yake ya maazimisho siku ya tarehe 1 Septemba litakuwa kwenye majukumu ya kijamii mbalimbali.

Sasa mimi Matola kama sehemu ya jamii hiyo Sept 1 ningependa kujumuika na JWTZ na nisingependa kuona raia wanachanganywa na tukio la kitaifa zaidi ya moja, hivyo basi naishauri CC ya CHADEMA ikutane kwa dharura kufuta m
Wanabodi mimi nikiwa kama mdau wa demokrasia natoa ushauri kwa CHADEMA ambao nauita ni ushauri wa lazima.

Kwanza kabisa ieleweke malengo ya UKUTA yametimia ila mfalme hawezi kukubali ila ukweli ni kwamba tayari anayajutida makosa yake kimyakimya.

Nikirudi kwenye mantiki ya uzi huu ni kwamba Jeshi letu pekee tunaloliheshimu na ambalo lipo upande wa wananchi siku zote ni JWTZ ambapo limetowa ratiba yake ya maazimisho siku ya tarehe 1 Septemba litakuwa kwenye majukumu ya kijamii mbalimbali.

Sasa mimi Matola kama sehemu ya jamii hiyo Sept 1 ningependa kujumuika na JWTZ na nisingependa kuona raia wanachanganywa na tukio la kitaifa zaidi ya moja, hivyo basi naishauri CC ya CHADEMA ikutane kwa dharura kufuta maandamano to show respect kwa Makamanda original.

Hii ina maana gani? CHADEMA mkisitisha maandamano mtakuwa mmeruka mitego miwili mliyowekewa, wa kwanza kikao na msajili ni tarehe 3 na nina uhakika kikao hicho kitapata muafaka wa mnachokipigania na la pili katika mazingira haya mkiandamana itakuwa ni dharau kwa Jeshi letu la JWTZ ambalo lipo kwenye maazimisho yake.

Binafsi tarehe 1 Septemba nitakuwa pamoja na Jeshi letu siko tayari kuwa sehemu ya maandamano hayo. Kama siku zote tumeipigania CHADEMA kwa nguvu zetu zote basi muwe tayari kupokea ushauri wa tija nia njema tunaotowa. Mkijifanya wakaidi mtabetray the whole trust from the public.

Mwenye masikio na asikie mpaka dakika hii CHADEMA imeshinda vita hii sasa huu mkia uliobaki msijiaribie. Just cease fire for the while, msajili atatoa tamko la kuruhusu mikutano nawahakikishia.

aandamano to show respect kwa Makamanda original.

Afadhali yako umenusa aibu ya kufeli umewapa wenzio pointi ya kuegemea
 
Back
Top Bottom