Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,459
- 92,834
Wanabodi mimi nikiwa kama mdau wa demokrasia natoa ushauri kwa CHADEMA ambao nauita ni ushauri wa lazima.
Kwanza kabisa ieleweke malengo ya UKUTA yametimia ila mfalme hawezi kukubali ila ukweli ni kwamba tayari anayajutia makosa yake kimyakimya.
Nikirudi kwenye mantiki ya uzi huu ni kwamba Jeshi letu pekee tunaloliheshimu na ambalo lipo upande wa wananchi siku zote ni JWTZ ambapo limetowa ratiba yake ya maazimisho siku ya tarehe 1 Septemba litakuwa kwenye majukumu ya kijamii mbalimbali.
Sasa mimi Matola kama sehemu ya jamii hiyo Sept 1 ningependa kujumuika na JWTZ na nisingependa kuona raia wanachanganywa na tukio la kitaifa zaidi ya moja, hivyo basi naishauri CC ya CHADEMA ikutane kwa dharura kufuta maandamano to show respect kwa Makamanda original.
Hii ina maana gani? CHADEMA mkisitisha maandamano mtakuwa mmeruka mitego miwili mliyowekewa, wa kwanza kikao na msajili ni tarehe 3 na nina uhakika kikao hicho kitapata muafaka wa mnachokipigania na la pili katika mazingira haya mkiandamana itakuwa ni dharau kwa Jeshi letu la JWTZ ambalo lipo kwenye maazimisho yake.
Binafsi tarehe 1 Septemba nitakuwa pamoja na Jeshi letu siko tayari kuwa sehemu ya maandamano hayo. Kama siku zote tumeipigania CHADEMA kwa nguvu zetu zote basi muwe tayari kupokea ushauri wa tija nia njema tunaotowa. Mkijifanya wakaidi mtabetray the whole trust from the public.
Mwenye masikio na asikie mpaka dakika hii CHADEMA imeshinda vita hii sasa huu mkia uliobaki msijiaribie. Just cease fire for the while, msajili atatoa tamko la kuruhusu mikutano nawahakikishia.