anajishindisha njaa naye, uchoyo ni adhabu.so na huyo mama anakula wap?
<br />
<br />
kwa mtazamo wako,afadhali nani awe mkali kati ya mwanamke na mwanaume kwenye familia
Hakuna wa Ughaibuni humu watupe nao experience zao, hasa wale ambao karatasi zinawasumbua..
ila vip mayb mmewe hampi bajeti wakati hayupo, wana bajet tu yao wakiwepo vip nalo hilo ushalicheki au?kwani kuna faida ya ukali?
<br />unakuwa ugenini hata kushika remote unaogopa!!?
Huwa cpendi kufikia nyumba za watu hasa nisiowajua tabia zao!
hapa ninachojifunza ni kwamba much as wengi wetu tumepitia kwa ndugu katika njia ya kuelekea hapa tulipo, ipo changamoto kwamba kwa vile 'tuliteseka' tukiwa huko (nashukuru Mungu sijawahi pitia huko), tusingependa watoto wetu wapitie maisha hayo. Wakati huo huo tunakubali kuwa changamoto hizo za kukaa kwa ndugu 'zimetupa akili' ya maisha, kujifunza kujitegemea nk. Swali ni je, inawezekana watoto wetu wakashindwa kupambana na maisha kwa kutopitia aina ya maisha tuliyopita?
Mh. Kaizer unachokiuliza nami nimeshajiuliza sana, mimi nimelelewa kwa mjomba baada ya Baba kutangulia kwenye HAKI.
Na kwa vile tulizaliwa 7 hivyo nduguze Mama na ndugu wa Baba (the late) wakatugawana sisi watoto kumwondolea Mama task work ya maisha, huko kwa Uncle ndipo nilipoyajua haya mnayoyasema, aidha Uncle hakua na tatizo, Mkewe ndiye alikua mwiba wa Nungunungu! Pamoja na yote maisha ya hivyo yana advantage na disadv kwani kwa upande mmoja utapata faida ya kujua Njaa inavumiliwaje utajua Branget linafuliwaje, vyombo vinaoshwaje, deki inapigwaje, utajua kupika n.k.
Watoto wanaokulia kwa wazazi wao wa kibayolojia wenye umri sawa na wanaokulia kwa ndugu walezi hawawezi kua sawa katika kumudu mazingira yanayowazunguka, wale walioko kwa walezi wanakua more active kuliko wanaokulia kwa wazazi halisi.
hapa ninachojifunza ni kwamba much as wengi wetu tumepitia kwa ndugu katika njia ya kuelekea hapa tulipo, ipo changamoto kwamba kwa vile 'tuliteseka' tukiwa huko (nashukuru Mungu sijawahi pitia huko), tusingependa watoto wetu wapitie maisha hayo. Wakati huo huo tunakubali kuwa changamoto hizo za kukaa kwa ndugu 'zimetupa akili' ya maisha, kujifunza kujitegemea nk. Swali ni je, inawezekana watoto wetu wakashindwa kupambana na maisha kwa kutopitia aina ya maisha tuliyopita?
Ladies why?upo Gaga?
acha kabisa hasahasa wakiona wakwe zao huwa ndo wanaisha kabisa................
na midomo hukauka mithili ya mlamba chumvi.............
kumbuka idadi ya hao wajukuu ulopewa haizidi 450. Kumbuka ulianza lini kupoteza mmoja mmoja kwa mwezi ukizidisha kwa idadi ya miezi lapsed tangu uvunje ungo hadi sasa, alafu toa kwa 450 baki itakuwa ndo idadi ya watoto ulobaki nao!hah hah haha...............we mchokozi?
wajukuu zako kiunoni wanakusalimia!!!!!
muda mwiingine inalazimuHuwa cpendi kufikia nyumba za watu hasa nisiowajua tabia zao!
halafu hv ni kwanini wanawake ndo huwa na roho mbaya sana kwenye hz ishu?
Kwa maisha niliyoishi drs la 5 hadi 7 mungu ndo anajua.
Leo hii mama yule akiniangalia usoni anainamisha kichwa,haamini kama ndo namalizia malizia university.
Nakumbuka mama mzazi alinishauri enzi zile alipopewa ful stor na majiran kwa vile me nilikuwa sio muongeaji,"mwanangu wala usimchukie,soma hvyo hivyo tu,siku ukipata kazi mnunulie zawadi nzuri sana umpelekee"
na nitalitimiza hilo!
Khaaah! Hii thread imenikumbusha mbali sana,eeh mungu msamehe mama yule!