Kuwa celebrity ni sifa nzuri kwa jamii zetu?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,403
74,019
Nimekuwa nikitafakari hili neno maana wanaojiita celebrities wanajivunia sana kuitwa hivyo.

Celebrity ana sifa zipi?
 
Money. Deals kibao za hela. Offer mbali mbali.
Free drinks na accommodation kwenye hotels kubwa kubwa ili tu useme umelala pale zipate kiki”
 
Back
Top Bottom