Kuua mtoto ili kufaidi mapenzi

Dou hivi katika hali yoyote mwanaume anaweza lalamika mapenzi yamehamia kwa mtoto kweli? mi nahisi wametofautiana kuna wababa wanawapenda watoto wao kuliko mpaka anaweza kuona kama unakosea kumlea mtoto.Huyu jamaa anatakiwa kupimwa akili, na huyo mama ananyonyesha bado anaselebuka tu! ndio maana watoto wengine wanakosa afya kabisa
 
Kakuruvi nilipokua nasoma roho imeniuma kweli nikajua the wife mwenyewe ndo kafariki... mawazo haya!!.. kukuta house boy.. nimeshindwa hata la kuandika... kwamba house boy alikua anatoka na huyo mama au???

Hivyo hivyo!
 
Wakuu hii kitu mapenzi usipokuwa makini unaweza kufanya maamuzi mabaya, kuna tetesi kuwa kuna jamaa mmoja aligundua baada ya kuwa na mtoto mchanga, mapenzi ya mkewe yalihamia kwa mtoto hivyo akajisikia wivu na kuamua kumuua mtoto ili mapenzi yarudi kwake kama mwanzo.

Alichofanya asubuhi moja alipaka sumu kwa hila kwenye chuchu za mkewe akitarajia mtoto akinyonya atadhurika kisha akaondoka kwenda kazini. Mchana akapigiwa simu kwamba kuna msiba nyumbani kwake, huku akijua kinachoendelea akawataarifu rafiki zake kwamba amefiwa na mwanae.

Lahaula,! alipofika nyumbani alipigwa butaa kumuona mwanae mzima na aliyekufa ni House Boy. WanaJF akili kumkichwa unaielewaje hii?

hii peleka kwenye vichekesho. imekaa vizuri.
 
Huyu hana tofauti na yule mtumishi wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na teknolojia (jina nimenitoka kidogo maana mods waliipeperusha kabla hata sijachangia) ambaye kuna jamaa alimrusha hapa jamvini kuwa anakana mke na watoto ili kupata vimada. Unapoamua kuoa au kuolewa, baraka ambatanishi hi watoto, hivyo tuwe tayari kuzipokea kama ukijaliwa na kuachana na starehe. Kulea kazi na tukubali sote, baba na mama.
 
sijaelewa bado,wakati anapaka sumu kwenye hayo maziwa ya mkewe,alikuwa kalala fofofo au?yani mtu ananipaka sumu in my nyonyozi nimelala tu?
Huyo house boy ananyonya ya mtu anaenyoshesha?mbn kama hainiingii akilini?
watu hawana kinyaa eeeh?tam ya toto inatoka maziwa mtu ananyonya?

Kama watu wananyonya kule kusikoangalika sembuse hapo! Ila dah mshikaji noma, so akanunua hadi sanda ya mwanae.
 
Hawanaga vinyaa hawa wakikamia kitu chao wanafanyaga maajabu
 
sijaelewa bado,wakati anapaka sumu kwenye hayo maziwa ya mkewe,alikuwa kalala fofofo au?yani mtu ananipaka sumu in my nyonyozi nimelala tu?
Huyo house boy ananyonya ya mtu anaenyoshesha?mbn kama hainiingii akilini?
watu hawana kinyaa eeeh?tam ya toto inatoka maziwa mtu ananyonya?
Wewe ni jiniazzzzzzz aisee umeona jinsi habari ilivyojaa matundu
 
be serious bana,kule chumvini na maziwa yanayotoka mbn ni vitu viwili tofauti?
Kama watu wananyonya kule kusikoangalika sembuse hapo! Ila dah mshikaji noma, so akanunua hadi sanda ya mwanae.
 
This is a fictitious story and has been forwarded exhaustively in our emails, @least ungesema you r joking,.....coz its a joke!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom