Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

Jamani, jibu ni moja!:
Mwiba wa magamba ni MAANDAMANO!...CAN you imagine mtu, msemaji wa chama anaongelea 'mere' maandamano ya chama cha MSIMU?
Dignitary kama huyu kuongelea michapo ya katuni?..my hairs...
Unalazimisha watu waiite thread yako CRAP bila sababu ya msingi!
Waambie watu juu ya siku 90 bana, sio taarabu hizo!
 
Habari Mzee wa Gamba, Kumbe nawe upo ndani ya JF Hongereni kwa operesheni vua Gamba.lakini hii falsafa mmeitoa wapi lakini au ndo mmeikota kwa watoto wa kitaa mkaibandika NEC,kweli mlishindwa hata kumpelekea mzee Kingunge au Mkapa awashauri mtokeje. Ila nakushauri najua wewe ndo mlopokaji wa chama irudishe NEC mtafute namna nyingine ya kutoka Jahazi limezama hili mwana. Isije ikawa wazee wamekutanguliza hao unaweza kujifanya front line baadae wakugeuke.

Kuhusu hii thread yako bado sijapata maana, sijui hata nichangie nini maana mmeua raia wa watu bila hatia then mmewatekelekeza wenzenu wanawasaidia mnamind Mungu awabariki wote bwana kama mnaona wenzenu wanakosea
 
Jamani, jibu ni moja!:
Mwiba wa magamba ni MAANDAMANO!...CAN you imagine mtu, msemaji wa chama anaongelea 'mere' maandamano ya chama cha MSIMU?
Dignitary kama huyu kuongelea michapo ya katuni?..my hairs...
Unalazimisha watu waiite thread yako CRAP bila sababu ya msingi!
Waambie watu juu ya siku 90 bana, sio taarabu hizo!

Mkuu naona hii ilipaswa iitwe crap wala hujakosea
 
Nnauye Jr,
Mkuu kuwepo kwako hapa JF tunategemea unakuja na vigongo vinavyotuhabarisha maswala muhimu ya chama ktk utekelezaji wa sera na ilani zake. Hizi habari za mazishi na katuni zinahusu nini ikiwa hili ni swala na haki ya msanii ambaye sii lazima awe mshabiki wa chama chochote cha kisiasa. Picha hueleza sawa na maneno milioni hivyo hatuwezi chukua lako tukaacha ukweli mwingine ulojitokeza ktk picha hiyo..

Tupe vigongo mkuu wangu, pengine wananchi watarudisha imani zao kwa chama..

huyu anashindwa kutofautisha facebook na JF , JF ipo juu kama hajui na hili bandiko lake mods mngelihamishia kule kwenye udaku
humu JF kuna mgawanyiko Nape kila kitu kina mahala pake
 
Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaambia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?

this is just going too low for someone holding your position in a party that calls the shots in the corridors of power...just too low am afraid!
 
Naona Nape anaanza kuutafuta umaarufu baada ya kuona kila anakokwenda yeye na chama chake wanazomewa.
 
Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaambia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?

Ila Tanzania tuna kazi, kama viongozi wenyewe ndio hawa, tumekwisha. Hivi wewe badala ya kuongelea tatizo kwa nini watu wamekufa tena kwa kupigwa risasi chini ya usimamizi wa chama chako cha Magamba (CCM), unaanza kudhihaki watu waliojitolea kuona haki inatendeka. Sidhani kama wangekuwa ndugu zako you would let it go na kuzika haraka haraka. Hatujasikia hata kauli yako moja juu ya haya mauaji, leo ulichoona wewe ni hiyo katuni tu. Shame on you!
 
Mkuu kazi ipo yaani yeye hajaona marehem waliokufa ameona magwanda na kikatuni
 
Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaambia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?

mkuu ni kweli kabisa. Ni kweli kwa 100%,itakuwa pale tarime ambako serikali kupitia watendaji wake idara ya jeshi hapa Tanzania wameamua kuwaua kikatili ndugu zetu wa Tarime. Sisi kama watanzania, na Tanzania wote ni ndugu tuna haki ya kuandamana mpaka serikali inaamua kutuua bila kufuata haki zetu. Nyie wenyewe mlikubali kuweka ktk katiba Universal Declaration on Human Rights Charter, leo hii mnakiuka kwa kuwa mna hatamu?? Hapa tuache u cdm pembeni,nivuavo hata kama wangeuawa mashetani brutally kama serikali ya ccm ilifanya wangeandamana tu au hata kulipa kisasi. Ni mara ya ngapi polisi wenu wanaua hapo mgodini?

Natamani wee au ndugu yako angekuwa kati ya hao watano ndo ungejua utamu au uchungu wa dihaka yako. Tuache kejeli vifo vile vinapaswa kusimamiwa mpaka haki ipatikane. Namshukuru Marando na ndugu Tundu Lissu,au hata cdm nzima kwa msimamo wa kiume. Nakuhakikishia yanayoendelea tarime kwa nguvu ya cdm ndo nguvù na utashi wa watanzania wapenda amani.
 
Mkuu unakusudia kumwambia nini Nape kupitia hii picha ?
Hakukuwa na mtu Serikalini ambaye angeweza kumuwakilisha Kikwete katika kutoa rambi rambi kwa familia ya Sheikh Yahya ili aweze kushughulikia matatizo mbali mbali ndani ya nchi yetu ambayo yanapigiwa kelele na Watanzania katika kila kona ya nchi yetu!? Au naye anatumia marehemu kisiasa zaidi? Mbona wale Watanzania waliouawa kule Arusha na hivi karibuni kule Tarime hatujamuona Kikwete kwenda kutoa rambi rambi kwa familia za wafiwa!?
 
Kwi kwi kwi hivijamaaaaaa amerudi hapa kweli tangu atoe bandiko hapa? Inawezekana huyu Nnape wa JF siyo yule wa Magamba!
Kumbe jamaa kilaza fulani hivi! Good my katibu itikadi!
 
Iv kwel nape ukipigwa mawe utalalimika..si mmewaua wenyewe?sasa ulitegemea nn?emu acha ukomedian kwenye serious issue..
 
Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaambia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?

hivi kweli hii ni thread iliyoanzishwa na mkuu wa litengo kikubwa kabisa cha chama tawala ...... if so then who is a serious person in this party

nimechoka kabisa .... badala ya kutuletea thread zinazoelezea hata jinsi ya kuimarisha mapato ya chama na ethics za uongozi katika chama anadessa vikatuni kwenye magazeti na kuleta humu jamvini

sasa nimeamini huyu ni kilaza kabisa
 
MISIBA ni sehemu ya chama kutafuta umaarufu, they did it arusha,they did it g/mboto and now nyamongo....! wakiondoka majonzi wanabaki nayo wafiwa.......!
 
Hakukuwa na mtu Serikalini ambaye angeweza kumuwakilisha Kikwete katika kutoa rambi rambi kwa familia ya Sheikh Yahya ili aweze kushughulikia matatizo mbali mbali ndani ya nchi yetu ambayo yanapigiwa kelele na Watanzania katika kila kona ya nchi yetu!? Au naye anatumia marehemu kisiasa zaidi? Mbona wale Watanzania waliouawa kule Arusha na hivi karibuni kule Tarime hatujamuona Kikwete kwenda kutoa rambi rambi kwa familia za wafiwa!?

Ha ha ha
Hapo umepiga kwenyewe
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaambia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?

Kama ni kweli basi ni dhiaka lakini bora kufanyia dhiaka maiti kuliko watu wazima walio hai. Hii nayo unaonaje.?

Labda tuambie kwa sera ya CCM yupi wa kuthaminiwa kati ya aliye hai na aliyekufa? Tusije kuwa tunashangaa CCM kumbe thamani ya waliokufa kwenu ni kubwa kuliko walio hai?
 
Back
Top Bottom