Kutumia marehemu kisiasa ni zaidi ya kufilisika kisiasa

hapana kiongoz tz bali mtawala ambae hajui kwa nn tz n maskin lakin ipo siku tutatoka utumwan
 
kweli siasa inahitaji mashabiki na wala sio watu wa kutoa hoja zenye kujenga. nawambieni "tumieni marehemu kama ngao ya kujiinua lakini jueni wazi kwamba hawa wametangulia sisi ndo tunafuata muda si mrefu" maana naona tiketi za kuishi kwetu zimesainiwa kwamba sisi tutabaki milele.
ok kaeni na ujinga wa uzima.
 
Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaambia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?

Tuseme ni mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, kumtumia DC Kimario kisiasa, ilhali ni kiongozi wa serikali ni kufilikisika kisiasa, tena sana , maana naona matamko yanayoporomoshwa kila kukicha kichochezi, hivyo DC amekuwa mtaji wa kura....

Mungu ibariki Tanzania
 
Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu, otherwise unaowaongopea watakuwa wajinga. Ndio sera za Ccm.
 
Kushindwa kudadavua dhihaka au ukweli wa hiyo katuni ina maana ukomo wa upeo wako katika jumbe zinazo tolewa na wachora vikatuni. Hata hivyo mimi sipo nchini kuiona hiyo katuni kwa hiyo nashindwa kujibu swali lako na wewe umeshindwa kunifikishia ujumbe. Lakini hiyo Tanzania kama tuijuavyo na viongozi wategemezi hata kwenye fikra.
 
Yaaaah nzuri kind of amusiment and fun kind of games,siasa hizi za kihoja na zisizo na matusi ya dhahili ni mwenendo mzuri wa kujenga.Kosa kubwa mlilo nalo wana CCM hamtaki kutumia Intellectuals kwenye kujenga mikakati mmezingatia sana wababe na waongo wasio na mbinu za kujua njia za kupita.Hichi kitendo cha thread hapa kwa Intellectual yoyote kinakubalika na kina kupata nafasi ya kutambua maadui wako wanajua nini juu yako na wanamikakati gani dhidi yako.

Kwa thread hii ujamtukana mtu,ila umeitibua akili ya mpinzani wako ambae walio wengi hawakuitaji hata ushahidi wako kuwa hiyo katuni umeiona wapi wathibitishe hoja yako walichifofanya ni kukushambulia kwa kila aina ya tafsiri zao.

Keep up manake tunako kwenda pasipo CCM hakuna CHADEAM na pasipo CHADEMA hakuna CCM,tunachotaka mshindane kwa hoja na si matusi na mbinu za dhuruma na ubabe usio na tija bali matumizi ya akili na busara, kwani hatimae ya yote Wote ni Watanzania.
 
Angalia bomu lako hilo linahesabu sekunde bado muda kidogo lilipuke andaa shimo lako...

Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaambia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?[/QUOTE

] lowasa.jpg
 
Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaambia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?
Hivi unakumbuka ulipokuwa Serengeti ulimshambulia marehemu ambaye hawezi kupata nafasi ya kujitetea mbele ya umma uliokuwa unahutubia. Wewe ni mtu wa ajabu sana, ndio maana ulizomewa.
 
Nimeona kikatuni mahali mtu mmoja kavaa kombati akiwaambia wafiwa subirini msizike msubiri maandamano yetu hapa.......hii ni dhihaka au kweli?

Dogo acha ujinga, kujiita junior haimanishi kuwa wewe ni junia kweli. Hebu kwanza jiulize hawa marehemu wanotumiwa walifikajefikaje kwenye majeneza? Je ni kweli walistahili kuwa kwenye hayo majeneza? Usipendelee kukimbilia hoja nyepesi nyepesi dogo.
 
....Sawa Jr...kweli kazi tunayo,kama vijana wenyewe mawazo yao ndio kama haya ya akina Nnauye Jr lol!! Vp mchakato wetu wa kujivua gamba unaendeleaje? Au gamba limefika sehemu limekwama,hapo itahitajika visu kulikata...
 
Hivi unakumbuka ulipokuwa Serengeti ulimshambulia marehemu ambaye hawezi kupata nafasi ya kujitetea mbele ya umma uliokuwa unahutubia. Wewe ni mtu wa ajabu sana, ndio maana ulizomewa.

Akumbuke saa ngapi wakati kumbukumbu hana. Nape ni mdogo kiumri lakini amechakaa kifikra. Kwa tabia na mwenendo anaouonyesha amewaangusha vibaya sana vijana wenzake wa ccm kiasi ambacho hawataaminiwa tena na kupewa nafasi za juu ndani ya chama chao.
 
Back
Top Bottom