Kutoka viwanja vya Karimjee, Buriani kwa Mh Regia Mtema

Kama upo Karimjee utaona kundi la watu wamevalia Tshirts, ukimwuliza yeyote atakuelekeza

Sipo Max.
But nilipenda sana niwe na hiyo Tshirt kwa kumbukumbu yangu au hata nivae kesho anapozikwa. NITAIPATAJE na ni sh ngapi< naweza tuma mtu baada ya shughuli hizi za kuaga mwili wa mpendwa wetu.
 
Kama upo Karimjee utaona kundi la watu wamevalia Tshirts, ukimwuliza yeyote atakuelekeza

Mkuu kwa watu wa mikoani vp hatuwezi pata hizo tshirt?mimi nipo Morogoro mjini,najipanga kuelekea Ifakara kwa mazishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom