mmmh! Ya kweli hayo///!mh. Slaa ameshukuru jf.
Protokali hazitaruhusu. Muda umebana sana, hakuna kundi litapewa fursa hiyo.Hakutakuwa na salam za pole kutoka JF? R.I.P REGIA
Utawasiliana nasi +255 784 526 444 au +255 715 887 912 watakusaidiaWadau tshirt zinapatikana wapi?naomba kuju9a ilo tafadhari,nipo Moro natangulia Ifakara ila ijumaha nitakua Dar,nahitaji tshirt moja tafadhari
Protokali hazitaruhusu. Muda umebana sana, hakuna kundi litapewa fursa hiyo.